Nshawasalimia..kuna jingine?
Kirefu cha hiyo T.G.I.F.O tafadhali..
Usiulize maswali kama askarimpelelezi..kamauna jambo jingine tafauti na salam uliseme.
[/QUOTE]Asa we vale kwani uliwahi kuona katika maandiko matakatifu imeandikwa mwanaume asiwe na mwanamke mdogo kiumri au mwanamke asiwe na kijana kijana mdogo zidiyake kiumri hiyo ni uamuzi wa wawili QUOTE=Jawilat;9617244]Linanikwaza sana hili jambo.
Hakuna shida wala tatizo Ila, tu kama wewe mwenyewe ni tatizo kwa kutokuelewa kuwa Si-lazima kuwe na tatizo.
Zingatia; Wakati mwingine mabadiliko hayazuiliki na daima Usitukane mamba kabla hujauvuka Mto,
Wewe ni kijana unajuaje ukizeeka nawewe utatamani kuyafanya hayo wanayoyafanya wenzako sasa?