Tumia mbinu za KISIASA kumwambia,
Mfano,
Kalunde mpenzi wangu wewe ni mwanamke wa ndoto ya maisha yangu,
Wewe ndiye niliyekuwa nikiomba kila siku kwa mungu anipe mwamamke mwenye sifa nzuri na za kuvutia kama za kwako,
Nakupenda na ninaahidi nitakuwa na wewe kwenye shida na raha,
But,
Hakuna aliye mkamilifu kila mtu anamapungufu yake, na ninamshukuru mungu mapungufu yako wewe ni madogo na yanatibika,
Kunaharufu huwa naisikia ukeni mwakoindi tuwapo faragha, nina nia njema ya kukusaidia, je ulishawahi kupata matibabu ya aina yeyote?
Jifunze siasa mkuu.