Lisu mahakamani: Tujuzane nini kinaendelea leo.

Dah kiingereza kilipobakwa."When is that date,if that I the case @mods please futa thread hii"
Matatizo ya kukurupuka.
Eh mzungu Afrika mie sijui kingereza wewe unajua nini hadi sasa ili ujue hakuna ,jinga jinga tu hatukujui kama kijana tajiri Tanzania kijana aliyewasaidia watoo 200 kwenda shule kawanunulia madaftari hakunaga upo upo tu chenga wewe kukosoa watu na huku huna umarufu wowote.
 
Wacha kurukia visivyokuhusu.Hiyo ni dalili ya sonona.Kiswahili chenyewe kinakushinda kuandika kwa ufasaha.
Usishobekee visivyokuhusu.
 
Back
Top Bottom