Lisu atofautiana na Mdee Bingeni





Hamna cha ajabu bali ni muono wa kila Mbunge, Na hilo ni pendekezo tu sio sheria.
 

Ukiwauliza wana division gan kwa uelewa wao mdogo? Watakwambia mbona tuna division 5? Ni zero tu hiyo na hiyo ndiyo stahiki yao maana km wanaweza kuwa wanangalia bunge na bado wasielewe tutegemee nini?
 
kweli maCCM akili hayana unasema mukiwa chama kimoja na mawazo yenu yafanane? maana yake sio masilahi ya wananchi tena bali ya chama? duh kweli hili nalo ni aina ya gamba!
 
hata baba na mama hupishana kauli though wanalala kitanda k1 na kushare shuka!hakuna jipya hapo
 
Aliyekwambia CDM inachukiwa ni nani?? Labda wewe na MaCCM, na hamna pa kutokea safari hii byby!!
 
chadema inachukiwa na watanzania kwa sababu ya upuuzi wa viongozi wake

watanzania wepi, maana sisi ndo watanzania wenye uzalendo, na nyinyi ni mitanzania msio kuwa na uzalendo na taifa hili, ama kweli CCM kwisha habari yake kama hoja zenyewe ndo hizo
 
Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.

Wanachama wamebaki njia ya panda...

Umeshakuwa msemaji wa wanachama wa Chadema? Kupingana kwenye majadiliano bungeni ni jambo la kawaida sana, hata kwa CCM imetokea.
Kwa mfano mdogo, unajua alichosema Serukamba na Mwigulu bungeni juzi wakijadili manadiliko ya sheria katika kifungu cha adhabu kwa waandishi wa habari?
Au ndo Buku 7?!
 

Umeambiwa au umesikia?
Acha ushabiki wewe Lisu na Aliina awajatofautian ata kidogo.
Lisu alikuwa anazungumza juu ya umuhimu wa kutoongeza azabu kwenye sheria ambayo aijawahi kufanya kazi, wakati Mdee alikuwa anazungumza juu ya kupunguza azabu ya faini iliyoletwa na Serekali na sio LISU TENA KWA NYAKATI TOFAUTI
 
Nini cha ajabu hapo we Muuza kande? Umeona na hii nayo ya kuanzishia thread?
 
Tafadhwali sheikh! Amina yupi huyo?
 

Kukurupuka kubaya, yani ata Head Title ya habari umeindika kimagumashimagumashi "lisu-atofautiana-na-mdee-bingeni"
Hapo kwenye red inaonyesha jinsi ulivyokurupuka nma tena tukikukagua vizuri huenda ata chupi hujavaa.
 
Inaelekea huko CCM hakuna UHURU wa kutoa maoni

Falsa ya ndiyo imewalemaza SEMENI NDIYOOOO !
 
Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.

Wanachama wamebaki njia ya panda...

Nakuheshimu sana Kiongozi, sana tena.
Lakini naomba utambue uvumilivu wangu kwa watu wanaofanya upotoshaji (hata kama wanajipotosha wenyewe) ni mdogo sana.

Nakuomba uheshimu utu wako, ni post kama hizi ndio zinasababisha watu waanze kuitana buku saba au wanywa viroba, huku ni kujidharirisha kwa wazi kabisa, na inalazimisha kufikiri kweli kuna watu wanalipwa kwa sababu ya kupost vitu vyenye muelekeo fulani wa kisiasa.

Sitaki kujutua kuwa kwenye jukwaa moja na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…