nyota ya Nundu imezimika kwa kasi ya ajabu,huyu mzee ukisoma cv yake utaogopa sijui pepo hili limemtokea wapi,Tanga mnagundu kweli.Mtoa msomi mwenye CV International,ameishia kwenye fedhea ya ubadhirifu.Arudi ulaya sasa,hehehehehehe JK nomaame mTIDO kudadeki.
Huyu bwana siyo mbadhilifu kama unavyofikiri, yaliyomkuta ni katika kutetea maslahi ya taifa kaingilia maslahi ya watu waliojipanga siku nyingi kutafuna rasilimali za nchi hii(jaribu kufuatilia sakata la cccc lilivyokwenda). Ila wale waliokua wanadhani kua akitoka Nundu mambo yatanyooka naona kama vile wamepata pigo katoka Nundu kaingia Mwakyembe.