engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
utajiri in layman terms ni STANDARD OF LIVING,kila mwananchi wa Equatorial guinea ana kamata at least 30,000 $ per annum,akikosakosa kutokana na unequal distribution of wealth at least atapata 12000,the equivalent of 1000$ a month-huyu basket of goods and services anayopata ni kubwa UKILINGANISHA na mtanzania anayepata a meagre 1400$ mwaka mzima na obviously mafisadi wanahakikisha hapati hata robo ya hiyo-huyu ni masikini cause hiyo hela hata basics haitoshiBora umefanya marekebisho...
lakini kidogo tu ni vizuri sana kufafanua hili maanake hili swala la kusema nchi tajiri Afrika ni hizi lina maana nzito zaidi ya kuorodhesha kama ulivyofanya kwa maana nchi kama Equatorial Guinea inaonekana matajiri kwa sababu ya mgawanyo wa pato kuilingana na idadi ya wananchi wake..Hivyo pato lake linaweza kuwa dogo sana ukilinganisha na Tanzania lakini kwa sababu wana population ndogo ndio maana wako juu ya nchi zote.
Na kibaya zaidi ya ufafanuzi kama huu. ni kwamba pato lote la nchi kama Equatorial linaweza kutoweza hata kujenga maendeleo madogo tulokuwa nayo sisi hata uwape miaka 50 lakini kwa sababu kinachohesabiwa ni pato kulingana na population utawaona wako juu ya nchi zote..
Hivyo tunarudi nyuma na kujiuliza Utajiri ni nini?
Mkuu sivyo ila mweka mada ndiye kaweka majina ya nchi na bendera zake vibaya.. nadhani bendera zipo juu ya jina la nchi lipo chini.. Hivyo kila Bendera unayoiona sambamba na nchi jua nchi halisi ipo chini yake. Ukifuata zilivyowekwa basi utagundua kwamba kila bendera sio ya nchi hiyo..
utajiri in layman terms ni STANDARD OF LIVING,kila mwananchi wa Equatorial guinea ana kamata at least 30,000 $ per annum,akikosakosa kutokana na unequal distribution of wealth at least atapata 12000,the equivalent of 1000$ a month-huyu basket of goods and services anayopata ni kubwa UKILINGANISHA na mtanzania anayepata a meagre 1400$ mwaka mzima na obviously mafisadi wanahakikisha hapati hata robo ya hiyo-huyu ni masikini cause hiyo hela hata basics haitoshi
ungekuwa more specific na kuweka ni nini un aongelea
it seems unaongelea income per capital
south africa is the largest economy in africa (wako more industrillized than the rest of the continet
ukiongelea income per capital kama ndio kigezo cha nchi tajiri then hata china na india zitakuwa mbali sana because of their population
tupe basi full story ya hizo data ili tusome
thanks
kenya should be higher but thanks to corruption and tribalism we are lagging behind many countries that we should be ahead of them
Na kelele zenu na ujivuni kumbe Kenya Per Capita yenu haiko hata top 15?
question is why is Tanzania's per capita income behind Kenya's??? despite all the minerals Tanzania has????
question is why is Tanzania's per capita income behind Kenya's??? despite all the minerals Tanzania has????