List ya madem inanitesa

List ya madem inanitesa

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
658
Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini bado haniamini. Hali hiyo imedumu kwa miaka mingi sana mpaka naona nimefika mwisho siwezi ivumilia. Issue inaanzania mbali kidogo, wakati bado sijamuoa aliwahi kunikuta na daftari la mshikaji wangu ambaye miandiko yetu inafanana. Hilo daftari jamaa alikuwa kaorodhesha mademu wote aliotembea nao. Sasa kulikuwa na column tatu NAMBA, JINA, na HALI. kwa mfano: NAMBA 1, JINA: Jenifa Kalalu, HALI: tight. Sasa idadi ilikuwa inafika 94 mpaka wakati huo. Wife anaamini list ilikuwa yangu, na kwenye list hiyo kulikuwa na majina ya watu wa karibu yake. Kila tukigombana ananitusi kuwa mie malaya sana na anauliza kuwa list yangu wamefika wangapi. Sasa mi naumia sana!! Ishu ya miaka kama 10 iliyopita halafu sio daftari langu lakini anafanya ndio reference kila tunapokwaruzana. Sasa sijui hata nimfanyeje??
 
Ni kweli inakera sana mtu anapokushutumu kwa kitu ambacho hufanyi..
 
Pole duh mkeo anakupenda Sanaa mda wote mloishi bado anakufatilia,hive hafanyi kazi? Manake mambo hayo yanataka uwe na mdaa.....
 
Atakuwa anasababu zaidi ya hiyo.
Usikute ameshakuoteaga na wawinda mitaa km yule uliyekuwa unammendea
 
Hapo kaka ni kuvumilia tu huna jinsi, maana kumthibitshia kuwa la rafiki yako akaelewa ni ngumu sana na napata shida kwanini miandiko ifanane? yaani kama wako na daftari unalo wewe mwenyewe!!!!!

Hebu fanya wewe ndio ungemkuta mkeo na daftari lenye mwandiko wake na majina ya wanaume na kolum moja inaelezea Medium 7nch, too shot, very thick and long, very hot and sweet stick, nk na idad ya wanaume ni 100 ungejisiaje??? ungesahau??? japo sio yeye na akakwambia la shoga yake!

Mkeo anakupenda sana kupita kiasi, na kwasababu roho yake ipo kwako ndo maana haishi kukufuata maana hataki aslan kukukosa.

Chukulia ni upendo umemzidi na kufanya umpende zaidi, ni wivu tu wakuona pengine watakuchukuwa wenye tight nk.
 
Usiwe na wasiwasi ndugu, uzuri ni kwamba na yeye kashaisoma hii post! atakua amekupata
 
Daftari! Umenikunbusha mbali sana. Mwandiko wako bado unafanana na wa rafiki yako? Sasa na wewe hadi unakutwa na 'daftari' (kama hautojali, lilikuwa la mistari midogo na mikubwa? Ama la viboksi?), ulikuwa unaangalia nani ana yenye hali gani ili na wewe ukatongoze ama ulikuwa unacopy notes?
 
Weye hilo daftari ulikuwa nalo la nini? Kuangalia katika list yake nani ambaye umempitia au hujampitia?
 
Kama kweli hufanyi ni kweli itakuumiza unapopewa shutma hali si kweli. Unampenda mkeo? Tumia muda na jitihada kidogo kumwonyesha wewe si wa hivyo.
 
Usiwe na wasiwasi ndugu, uzuri ni kwamba na yeye kashaisoma hii post! atakua amekupata

we mmmbbbaaayyyyya, umeweza kujuaje hili, ila ndugu vumilia tu kwa kua ni yeye anahangaika kukubamba na hajafanikiwa ipo cku ataacha , ila na we jitahidi kumuondolea mazingira ya kumfanya akudoubt
 
Uwiii nlikusahau Kongosho
mamiii sorry
 
Last edited by a moderator:
Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini bado haniamini. Hali hiyo imedumu kwa miaka mingi sana mpaka naona nimefika mwisho siwezi ivumilia. Issue inaanzania mbali kidogo, wakati bado sijamuoa aliwahi kunikuta na daftari la mshikaji wangu ambaye miandiko yetu inafanana. Hilo daftari jamaa alikuwa kaorodhesha mademu wote aliotembea nao. Sasa kulikuwa na column tatu NAMBA, JINA, na HALI. kwa mfano: NAMBA 1, JINA: Jenifa Kalalu, HALI: tight. Sasa idadi ilikuwa inafika 94 mpaka wakati huo. Wife anaamini list ilikuwa yangu, na kwenye list hiyo kulikuwa na majina ya watu wa karibu yake. Kila tukigombana ananitusi kuwa mie malaya sana na anauliza kuwa list yangu wamefika wangapi. Sasa mi naumia sana!! Ishu ya miaka kama 10 iliyopita halafu sio daftari langu lakini anafanya ndio reference kila tunapokwaruzana. Sasa sijui hata nimfanyeje??

kha!!! huyo jamaa yako alikuwa ana zisasambua papuchi za mademu balaa
 
Ha ha du mi nimependa hiyo hizo kolumn haswa kipendele cha hali status
jamani kuna mambo mapenzini
mwaJ
Ciello
@caccico
LARA1
marejesho
Paloma
gfsonwin
snowhite embu mje huku muone mambo ya hali
teh teh mi yangu ingekuwa mtera

Hahahahahahah kumbe wanawekaga list eeh? ila nahisi daftari lilikuwa la jamaa...huyo mke naye ana moyo kweli anakutana na list na still anaolewa naye??? we differ.....jambo la msingi kuweni makini na vitumbua vyenu msivigawe hovyo mtawekwa kwenye list buree maana wengine kazi yao kufanya sensa ya k....
 
Hilo daftari ni lako toka zako hapa inauma sana naijua hali hiyo ingawa mimi cijakuta daftari lkn ni kama hayo yani hata uwe hufanyi huyo hatokuamini licha ya mapenzi alonayo kwako anaumia sana jitahidi kumpunguzia maumivu ya kumbukumbu hizo chafu mpende mwambie ni yeye tu ameujaza moyo wako na unampenda sana yy ni zaidi ya wote walopita atatulia kidogo

Nayanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom