List ya ma rais waliohudhuria kuapishwa kwa kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List ya ma rais waliohudhuria kuapishwa kwa kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by marshal, Nov 6, 2010.

 1. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  1. robert mugabe- zimbabwe
  2. joseph kabila- drc
  3. mwai kibaki - kenya
  4. rupia banda- zambia
  5. jacob zuma- south africa
  wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is a clear view
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Waziri Mkuu wa Rwanda
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wote hao ni marais makini na wanao jua vizuri bara hili la africa. Na tena wengine hapo ni PAN-AFRICA
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Similarity ya kwanza ni kwamba wote wamekosa mambo YA MUHIMU(pressing) ya kufanya nyumbani kwao( kama wenzao waliotuma wawakilishi) ndio maana wamekuja hapa!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Hao waliohudhuria ni madikteta watupu, isipokuwa JZEE, Jacob zuma yeye amekuja kuangalia kama anaweza kupata demu wa kibongo, kwahiyo kaja kingono zaidi. by the matokeo yametangazwa jana jioni, hawa huo mwaliko walipelekewa lini? au kwa kuwa chakachwa ilishaandaliwa, basi hata wageni walishaalikwa wiki moja kabla? MSAADA TUTANI:nono:
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TANZANIA=KENYA=ZIMBABWE hasa ukiangalia chaguzi zao
   
 7. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiachia mzee wa totos kutoka bondeni (SA) waliobaki ni wachakachuaji maarufu barani Africa
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hata wa msumbiji hakuja leo. Na mseveni hakuwepo?
   
 9. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mugabe- Dikteta (data is given)
  JKabila- aliingia kwa mtutu wa bunduki
  Kibaki- ailiingia kwa damu ya kuchinja
  Banda- yeye kaja kuangalia kama zile mbinu alizotupa kama zimefanikiwa
  Zuma- kaja kuangalia kama lile kontena lilifika salama lakini nasikia kaambiwa wenye nchi waligangamara ndiyo maana kura zimekuwa kiduchu.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wamekuja kuangalai kama tanzania bado ina zile fikra za utu na uwazi akama enzi za mwalimu.
  naamini kwenye utalii wao huu watagundua kitu ambacho kitawapa funzo kubwa.....

  Afrika ina safari ndefu sana ktk kuwajali na kusikiliza pamoja na kuheshimu sauti za watu wake.

  ah!
   
 11. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vipi wakuu hapa siyo sehemu yake...
   
 12. r

  rmb JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh hali imeanza kuchafuka
   
Loading...