Elections 2010 List ya ma rais waliohudhuria kuapishwa kwa kikwete

marshal

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
353
157
  1. robert mugabe- zimbabwe
  2. joseph kabila- drc
  3. mwai kibaki - kenya
  4. rupia banda- zambia
  5. jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is a clear view
 
  1. robert mugabe- zimbabwe
  2. joseph kabila- drc
  3. mwai kibaki - kenya
  4. rupia banda- zambia
  5. jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is a clear view

Wote hao ni marais makini na wanao jua vizuri bara hili la africa. Na tena wengine hapo ni PAN-AFRICA
 
  1. robert mugabe- zimbabwe
  2. joseph kabila- drc
  3. mwai kibaki - kenya
  4. rupia banda- zambia
  5. jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is a clear view
Similarity ya kwanza ni kwamba wote wamekosa mambo YA MUHIMU(pressing) ya kufanya nyumbani kwao( kama wenzao waliotuma wawakilishi) ndio maana wamekuja hapa!
 
Hao waliohudhuria ni madikteta watupu, isipokuwa JZEE, Jacob zuma yeye amekuja kuangalia kama anaweza kupata demu wa kibongo, kwahiyo kaja kingono zaidi. by the matokeo yametangazwa jana jioni, hawa huo mwaliko walipelekewa lini? au kwa kuwa chakachwa ilishaandaliwa, basi hata wageni walishaalikwa wiki moja kabla? MSAADA TUTANI:nono:
 
ukiachia mzee wa totos kutoka bondeni (SA) waliobaki ni wachakachuaji maarufu barani Africa
 
  1. robert mugabe- zimbabwe
  2. joseph kabila- drc
  3. mwai kibaki - kenya
  4. rupia banda- zambia
  5. jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is a clear view

Hata wa msumbiji hakuja leo. Na mseveni hakuwepo?
 
  1. robert mugabe- zimbabwe
  2. joseph kabila- drc
  3. mwai kibaki - kenya
  4. rupia banda- zambia
  5. jacob zuma- south africa
wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is a clear view

Mugabe- Dikteta (data is given)
JKabila- aliingia kwa mtutu wa bunduki
Kibaki- ailiingia kwa damu ya kuchinja
Banda- yeye kaja kuangalia kama zile mbinu alizotupa kama zimefanikiwa
Zuma- kaja kuangalia kama lile kontena lilifika salama lakini nasikia kaambiwa wenye nchi waligangamara ndiyo maana kura zimekuwa kiduchu.
 
wamekuja kuangalai kama tanzania bado ina zile fikra za utu na uwazi akama enzi za mwalimu.
naamini kwenye utalii wao huu watagundua kitu ambacho kitawapa funzo kubwa.....

Afrika ina safari ndefu sana ktk kuwajali na kusikiliza pamoja na kuheshimu sauti za watu wake.

ah!
 
UTAKUWA BWABWA ( BWABWA NDIO UBWABWA AU ?) WEWE naumetumwa ( MBONA BOSS WAKO ANAKUTUMA MPAKA KUFUA CHU..PI YAKE SIO WEWE) na utakufa ( WEWE HUFIIII? KUMBE NI SHETANI SIO BINADAMU WEWE) ukiwa mtumwa (WEWE UKIWA KIKARAGOSI) Ms...nge wew (HA HA KUMBE NDIO KAZI YAKO YULE MUHINDI ANAVYOKUPAKUA, POLEEE MTOTO SIO RIZKI)
Vipi wakuu hapa siyo sehemu yake...
 
Back
Top Bottom