List of Mtaani Most Wanted

Kiongozi usipoangalia nakunyang'anya mke aisee. Yester night kanitamkia kuwa ananipenda...! Sa sijui umepigwa buti ama vipi..! Btw...mchungaji amekuulizia leo.
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu umenihukumu bila sababu mkuu. Hembu toa hiyo reference ili my Khantwe asije kuwa na mawazo kuwa Nina tabia ya Ku hit and run. Umenihukumu vibaya ndugu mwenyekiti.

We si ulimhit Koku ukasepa?
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi usipoangalia nakunyang'anya mke aisee. Yester night kanitamkia kuwa ananipenda...! Sa sijui umepigwa buti ama vipi..! Btw...mchungaji amekuulizia leo.

Aaaahh...unaharibu sasaaa...msukuma huyu atanifungia ndani aisee nishindwe kuja rock city.
 
Siku zote msema kweli ndiyo mbaya..
Unakumbuka siku tunagawana na utafiti? We ukachukuliwa nae, mi nikaondoka na DEMBA? Hiyo moja!!

Siku ya miss french yule mwenye miaka 18?Ilikuwa tu nilift anipeleke kwangu maana sikuja na gari na ilikuwa usiku sana na hata anayenimiliki analijua hilo kuwa nilitoka na shem miss tz
 
Last edited by a moderator:
uliza kama msalani haendi, kama anajiona yuko tofauti na wale watoto wanaokufa somalia na darfu.

Wewe umeishaniuzi sana mtu wangu kaninunia itabidi uniombee msamaha....lol.Yap naukumbuka halafu si ni mwezi huu?Ngoja niangalie ratiba itakuaje kiwatengu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…