na miss. kwani msarando wa utafit.haujawahi kukupata?
ile ya blue blue..
Mwaya huyo kiwatengu n mbeyaaaa. Ha ha ha ha. Ntamtangaza we subiri tu
Hahahaha bora ukamtangaze.Mzima lakini mumie?
ha ha ha...kumbe kuchepukiana siyo kuwahi eeh..
M mzma dear..
Huyo asubirie tu. Ntamtangaza yaan
Wasiwasi wako ni nini kwani?
Sina wasiwasi wowote ila nashangaa why utafiti na mie ndio hicho sielewi