shemu huyooo..
maadili ambayo wenyewe hawana?
Sijambo my sis jamani nilikumiss
mzima wewe?
walet nabaki nayo
hayo umesema wwmaadili ambayo wenyewe hawana?
leo hujavaa miwani ndio maana hunioni
just asking
Haya nimekuja
twenzetu kule pembeni tuongee....
twenzetu kule pembeni tuongee....
pembeni tena??? huku huku
haya semelea