Lissu: Wanaohama CHADEMA wasiwatishe

Aibu kama mnanunuliwa INA maana mnajiuza!!?
 
Ni wazi viongozi upinzani ama wameishiwa pumzi, mbinu, mikakati, na sera: au vyuma vimewakazia Kwa hiyo wanasaka vilainishi....

Ninashauri wenye mipango ya kuhama wafanye hivyo mapema upinzani uje mpya
 
Ili Mti Unawiri vizuri Sharti Majani yadondoke yaliyochoka yadondoke. (Kwa wanaojua miti). Kwa wasomaji wa Biblia Yesu akawauliza wanafunzi wake, "Je Nanyi mwataka kuondoka?" Ni vema miti ipukutike majani yaliyochoka
 
Kwa hiyo nyie mnajiuza? kwa hiyo mnanunulika? kwa hiyo mgeuza nchi yetu?
 
Mkuu mleta mada nakuonea huruma!

Hii jambajamba mnayopewa na ccm si ya nji hii
 
Una bahati sana siasa siijui, la si hivyo ningekuchana balaa.
 
Hapana tatizo fuba la ruzuku tu liwekwe mezani watu wapige pasu kwa pasu yasingetokea haya yote
 
Hata NCCR walikuwa wanaamini ndiyo wanaimarika zaidi pale omega Yao ilipofika.

Nyie jibaraguzeni Tu ila muda utatoa majibu.
 
Hawaoni aibu kwa sababu kweli wao ni cheap labor
 
Ili Mti Unawiri vizuri Sharti Majani yadondoke yaliyochoka yadondoke. (Kwa wanaojua miti). Kwa wasomaji wa Biblia Yesu akawauliza wanafunzi wake, "Je Nanyi mwataka kuondoka?" Ni vema miti ipukutike majani yaliyochoka
 
Ili Mti Unawiri vizuri Sharti Majani yadondoke yaliyochoka yadondoke. (Kwa wanaojua miti). Kwa wasomaji wa Biblia Yesu akawauliza wanafunzi wake, "Je Nanyi mwataka kuondoka?" Ni vema miti ipukutike majani yaliyochoka
CCM ilipukutisha majani makavu 2015 chadema ikayavamia kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…