Lissu vs Tume -Both Decisions Will Add More Credits to Him

Mamvi alikatwa akiwa ndani ya chama chake. Hakukatwa na NEC. Sema mambo ya Jecha ndio yalikua balaa. Lkn tuache ushabiki kidogo wa kiitikadi. Unafikiri itakua ni rahisi tu kumkata huyu mgombea wa cdm? Huyu mgombea uelewa wake juu ya mambo ya sheria na kanuni na taratibu za uchaguzi anazifahamu vp hasa? Maana huyu mgombea sio mbugila mbugila km Mimi. Watakuja na sbbu gani hasa ya kumkata? Jana alitinga mahakama kuu kula kiapo na alitinga akiwa na Kibatala. Kibatala nafikiri unamuelewa ktk fani ya sheria. Sasa hivi vichwa viwili unavipa sbbu gani ya kumkata TL?
Chadema msitufokee mmekiuka sheria lazima ile kwenu wagombea wako zaidi ya 15 uchaguzi utaendelea kama kawa mlionywa mapema na kanuni mlisaini sasa nini kimepungua.Mlisababisha Aquirene a RIP mkapewa onyo. Safari hii mchana kweupe sheria inafuata mkondo wake.
 
Wengi wa wasiofikiri wanadhani kumkata TL asigombee urais ni kumuondolea umaarufu. This action will make the nation vulnerable to mass unrest. Heri wamuruhusu agombee na tume imtendee haki.
Usitegemee hilo kutokea Tanzania iko tayari muda wote kukabiliana na wahalifu. Ndiyo maana dunia imeweka kuwa nchi ya 53 kati ya nchi 176 duniani, hata Marekani hatufikii hizi ni takwimu za UN.Lissu ni ni kibanzi tu
 
Mamvi alikatwa akiwa ndani ya chama chake. Hakukatwa na NEC. Sema mambo ya Jecha ndio yalikua balaa. Lkn tuache ushabiki kidogo wa kiitikadi. Unafikiri itakua ni rahisi tu kumkata huyu mgombea wa cdm? Huyu mgombea uelewa wake juu ya mambo ya sheria na kanuni na taratibu za uchaguzi anazifahamu vp hasa? Maana huyu mgombea sio mbugila mbugila km Mimi. Watakuja na sbbu gani hasa ya kumkata? Jana alitinga mahakama kuu kula kiapo na alitinga akiwa na Kibatala. Kibatala nafikiri unamuelewa ktk fani ya sheria. Sasa hivi vichwa viwili unavipa sbbu gani ya kumkata TL?
Swali fikirishi Lile tamasha la wasanii lilikuwa kwaajili gani
 
Hakuna wakati mgumu wanapitia watumishi wa tume kama huu. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi haijawahi kupata mgombea machachari kama Tundu Lissu.

Mgombea anayewakemea waziwazi tena kabla hawajafanya maamuzi ya mwisho ya kupitisha wagombea wa urais. Mgombea anayejua sheria vizuri tena huenda kuliko baadhi ya wanatume wenyewe.

Lakini kubwa zaidi linalowapa uchovu ni maamuzi ya mwisho ya ama apite ama wamkate. Sababu maamuzi yote mawili yana same score kwa Tundu Lissu, ambayo ni kumuongezea credits zaidi kwake.

Sasa ndio mtajua nyakati huwa hazina ngao. Zikifika zimefika huwezi kuzizuia. Tundu Lissu ni kama maji, usipoyaoga lazima utayafulia, usipoyapikia lazima utayanywa.

Zikifikaga nyakati kama hizi ndipo huwa uzalendo unatakiwa uwekwe mbele zaidi. Kama upo kwenye nafasi ya kufanya maamuzi usiangalie maslahi ya kiumbe yeyote hata awe ndugu yako bali maslahi ya taifa kwanza.

Tukutane August 26 kujua tume wataamua kumpeleka TL upande upi.
Kwakweli hata kama na mimo ndio NEC swala la Lissi linauma kichwa.
 
Swali fikirishi Lile tamasha la wasanii lilikuwa kwaajili gani
Ililenga kuhadaa watu kwamba chama kinakubalika kwa kujipima na mafuriko ya Lissu. Wakasahau Lissu hatembei na msanii hata mmoja na wala hakutembea na baraza zima la mawaziri.
 
Ha ha ha yeye mwenyewe anaita kimbunga. Anaita tsunami. Sasa wakuacha kwa kawaida kimbunga hua hakitabilili. Kinaweza kikavuma mpk kikawashinda.... Ha ha ha kwa muda mfupi tu huyu jamaa kaja kabadilisha upepo wa kisiasa kabisa nchini. Na upande wa kijani wamekua kimya wakifanya mambo ya kimya na kuzichanga karata zao kimya na kwa utulivu. Maana ata vijana mitandaoni hawaonekani kurusha makombora sn. Juu ukimya una kitu. Lkn safari Hii kz ipo.... Kikubwa tuombee amani tu
Wako kimya unaweza ukadhani wanazichanga karata kumbe wamekosa cha kufanya.
 
Eti unajua siasa halafu unaleta habari za kusimuliwa hapa. Hivi unajua mwaka 2010 mlisema Dr.Slaa alimshinda Kikwete, halafu 2015 Dr.Slaa akiwa ametoka kumshinda Rais aliyekuwa madarakani( kwa mjibu wenu) na akiwa ameongezeka umarufu na CDM ikiwa imeimarika zaidi na CCM ikiwa imegawanyika na wamempitisha mtu asiye Maarufu mkamtosa mtu aliyemshinda Rais aliyeko Madarakani mwaka 2010 mkachukua mtu aliye kuwa na siku mbili chamani na mtu mliyemtukuna miaka mingi. Narudia hizo ni habari za vijiweni jifunze kutumia kichwa chako kuchanganua mambo Buda!
Kaka

Upo hapa kutetea dictatorship tendencies za huu utawala uliooza?

Hivi unaelewa hakuna rule of law maana unaemtetea yupo juu ya sheria?

Ka-weaken Parliament,ka-weaken judiciary,ka-weaken central bank,ka-weaken election commision,ka-weaken civil service,ka-weaken private enterprise,ka-weaken independent media.....

Wewe ni mtu mzima,umeelimika shule,una moyo unaokusuta,then upo hapa kutetea mgombea wa urais akatwe asigombee urais????

Like really?

Kama nchi tulidhani tulitoka chama kimoja na utawala wa kiimla wa miaka 1960's,tumeenda kwenye democracy and free interprise and personal freedoms...

Then leo linatokea dictator ana-hold every institution hostage kufuata utawala wa kiimla wewe upo hapa unampigia makofi????

Hivi tunaelekea total freedom au tunarudi kule kule kwa 1960's na wewe upo hapa unakenua mimeno kama Juha unatetea dictatorial tendencies anazoonesha bwana Mawe?

Africa sisi sijui ni monkeys kweli maana jitu kama wewe upo hapa unatetea hijacking of civil freedoms and democratic institutions tulizojenga kwa miaka 22 since 1992!
 
Kaka

Upo hapa kutetea dictatorship tendencies za huu utawala uliooza?

Hivi unaelewa hakuna rule of law maana unaemtetea yupo juu ya sheria?

Ka-weaken Parliament,ka-weaken judiciary,ka-weak central bank,ka-weaken election commision,ka-weaken civil service,ka-weaken private enterprise,ka-weaken independent media.....

Wewe ni mtu mzima,umeelimika shule,una moyo unaokusuta,then upo hapa kutetea mgombea wa urais akatwe asigombee urais????

Like really?

Kama nchi tulidhani tulitoka chama kimoja na utawala wa kiimla wa miaka 1960's,tumeenda kwenye democracy and free interprise and personal freedoms...then leo linatokea dictator ana-hold every institution hostage kufuata utawala wa kiimla wewe upo hapa unampigia makofi????

Hivi tunaelekea total freedom au tunarudi kule kule kwa 1960's na wewe upo hapa unakenua mimeno kama Juha unatetea dictatorial tendencies anazoonesha bwana Mawe?

Africa sisi sijui ni monkeys kweli maana jitu kama wewe upo hapa unatetea hijacking of civil freedoms and democratic institutions tulizojenga kwa miaka 22 since 1992!
Nisome vizuri mkuu hakuna sehemu nimesema akatwe na ukifatilia Comment zangu nimesema wazi natamani Lissu awepo na ikiwezekana Membe atoke ili tuone nguvu yake. Lakini kama amekiuka utaratibu iliowekwa anaweza kukatwa na maisha yakaendelea, na nimesema hivo niki refer alichoandika mleta uzi
 
Ni very hard ku-prove alikua anafanya kampeni...ni very very hard!

Kama itafanyika kwa uwazi na tume (of which tume sio free) na baada ya hapo kitu kikaenda mahakamani na mahakama ikaona kweli (of which I doubt maana mahakama sio free)..then sawa

To begin with hivi vyombo viwili Tume na Mahakama tayari ni matatizo,haki haipo tena hapo...

Issue ni justice watoe wananchi.....wote waaachwe wagombee atakaepita apite....

Institutions zetu zote zipo hijacked na compromised na utawala wa kidikteta....na kurudisha mifumo sahihi ni mpaka atoke madarakani na kutoka madarakani hatoki maana institutions zote za chaguzi ziko mfukoni mwake yeye!

Tuna flawed system already...

Kuwe na force maalumu Tume ya Uchaguzi iwe huru kutoka kwenye makucha ya mwenye nchi ambae at the moment yupo juu ya sheria.....

Mawe kua juu ya sheria tayari ni TATIZO kubwa....nothing goes without his consent,tayari ni totalitarianism...

Hatuna nchi aspiring to be a totally freed society with working democracy,civil liberties,free enterprise,rule of law,etc....

Currently tuna nchi mtu mmoja yeye ndio Mungu wa kila kitu...hakuna institution ipo independent hata moja,even media,ipo hijacked......

Hatuna vibrant democracy wala vibrant economy hapa.....

Mimi moyo unaniuma kupita maelezo majitu mazima yenye hadi mvi yapo hapa yanatetea institutions zetu zilivyoshikwa hostage by the regime...

All our structures,institutions,etc are dead....totally dead....kilichobaki ni word of one person,only one person...this is dangerous kabisa!
 
Nisome vizuri mkuu hakuna sehemu nimesema akatwe na ukifatilia Comment zangu nimesema wazi natamani Lissu awepo na ikiwezekana Membe atoke ili tuone nguvu yake. Lakini kama amekiuka utaratibu iliowekwa anaweza kukatwa na maisha yakaendelea, na nimesema hivo niki refer alichoandika mleta uzi
Je wewe kajekudya, hadi sasa unao wasi wasi wowote kwamba huenda kuna taratibu zimekiukwa? Tuanzie hapo halafu twende taratibu.
 
Pengine hujui siasa kwa kiwango zaidi ya ushabiki na kupiga kura. Kwa taarifa ya wasomaji, kuna jambo (kete) moja ambalo halijawahi kutokea katika siasa za uchaguzi za Tanzania.

Tofauti na enzi za siasa za akina Mrema na Lowasa, ambao ni mazao ya CCM, Tundu ni zao la Upinzani perse. Augustine Mrema hakuwa na guts za kupeleka wafuasi wake barabarani. Aidha, Lowasa aliwasihi sana vijana wasiende barabarani licha ya kuamini kuwa kura zake ziliibiwa kupitia hacking, mradi ulioongozwa na Shamte pamoja na January Makamba.

Vijana, Kwa amri ya Mbowe walisitisha shinikizo na kisha kuacha kabisa mpango wao wa kuingia barabarani.

Kama kuna asiyejua, tishio la vijana kuingia barabarani ndio sababu kuu ya Magufuli kupiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Matokeo ya vijana kuingia barabarani kila mtu anayajua. Magufuli alijua Kwa uhakika kuwa aliingia Ikulu Kwa kura za kuiba. Waligushi kupitia hacking. Maandamano yangemuondoa ila haikuwa hivyo kwa sababu waliyekusudia kumsaidia kudai haki yake (Lowasa) alikuwa amegoma, hakuwa tayari kudai haki hiyo kupitia maandamano yasiyokoma.

Hiyo ndio kete ya Lissu. Anaungwa mkono. Ana uwezo wa kuamuru vijana waingie barabarani iwapo ataona na wafuasi wake wataamini kuwa ameonewa.

Sisi na wao hakuna asiyejua mwisho wa siasa za barabarani. Watu kadhaa watakufa, lakini kutawaondolea raia hofu ya kupambana na waovu wa Dola. Utawala wa CCM hautasalia madarakani.

Tumekwishakujifunza kutoka Mali, Sudan, Madagascar na kwingineko, Afrika na duniani.
Ila mkuu Ccm kama wadhibiti wa dola bado wana mbinu nyingi za kusalia madarakani (rejea hama hama ya wabunge wa upinzani kuunga mkono juhudi).
 
Je wewe kajekudya, hadi sasa unao wasi wasi wowote kwamba huenda kuna taratibu zimekiukwa? Tuanzie hapo halafu twende taratibu.
I don't see anything bad na niwe mkweli Mimi siyo shabiki wa Lissu na Kama Kuna kitu watafanya na kila mtu awaone wa ajabu ni kumkata jamaa. Japo as I said before uwezo huo wanao na Maisha yakaendelea but kufanya hivo kwangu utakuwa ni upuuzi wa kiwango cha Lami
 
Lissu ndio kafanya for the first time nijue kua kumbe unaweza omba kugombea urais halafu tume ikakufyekelea mbali... siasa bhana.
 
Inanikumbusha maudhui ya ile "movie" ya "Double Impact" ya Jean-Claude Van Damme
 
Ha ha ha ha, hao ndio walisema wanakwenda ICC 2015, but where did it end!? Mkuu. Narudia wanachopaswa kufanya wakataji ni kuhakikisha ACT, CUF, NCCR na Mzes Rungwe they are in! Baada ya hapo sisi Watanzania tunamwachia kila mtu ale na wakwao!
Wamkate tu la sivyo atafanya mgombea wetu ashinde kwa 51% na sisi tunataka ashinde kwa 90%!
 
Alikatwa Lowassa na maisha yakaendelea, akafanya Jecha yake na Maisha yakaendelea, Who is Lissu Buda?. Kitu pekee ambacho wakataji wanapaswa kuwa na uhakika ni Kama Membe, Zitto, Maalim, Lipumba, Sipunda na Mbatia wataendelea kushiriki uchaguzi baada ya jamaa kukwanguliwa, watakuwa wamemaliza kazi. Watanzania sisi tunajijua, kwetu sisi Mchuma Janga hula na wakwao!
Mkuu lowassa alikatwa na CCM si NEC unless Kama unataka kusema kuwa NEC ilisaidiana na Magu kuiba kura
 
Chadema msitufokee mmekiuka sheria lazima ile kwenu wagombea wako zaidi ya 15 uchaguzi utaendelea kama kawa mlionywa mapema na kanuni mlisaini sasa nini kimepungua.Mlisababisha Aquirene a RIP mkapewa onyo. Safari hii mchana kweupe sheria inafuata mkondo wake.
Wamekiuka sheria gani???
 
...uwezo wanao na maisha yakaendelea
Hapo ndipo tatizo huanzia na kwa sisi Watanzania ugonjwa unaotugharimu ni woga na kukaa kwetu kimya tunapotendewa hovyo baada ya kuchagua hovyo. Wakati Rais Magufuli anaanza kututendea hovyo tulikaa kimya kwa kigezo potofu cha maisha kuendelea na hivyo kuwezesha matendo ya hovyo kuendeshwa dhidi yetu.

Na si hivyo tu alipoanza kututendea hovyo, pamoja na kujua madhara yaliyo mbele yetu, wapo waliomshangilia na ushangiliaji huo ulizidi kumjengea ujasiri wa kuwa jeuri zaidi. Hata hivyo wako ambao ingawa hawakumshangilia lakini walisononeka huku wakilalamika mafichoni na hili nalo kuchangia katika kumjengea kiburi zaidi.

Kuna tabia inaitwa silent complicity ikiwa na maana ya to stay silent is to be complicit. Kwa kukaa kimya moja kwa moja tunashiriki katika kumkomaza kiongozi katika tabia anayojijengea. Kama tabia anayojijengea kiongozi ni ya kibabe basi tunamkomaza katika ubabe na kwa wale anaowaongoza kurutubisha tabia ya woga.

Lakini tukapata na bahati...akatokea kiongozi moja jasiri ambaye hakukaa kimya na akaonya tokea mapema kabisa kwamba tuangalie tusije tukalea udikteta uchwara lakini hatukusikia. Hii tabia tunayoishuhudia kwa kiongozi wetu mkuu tumeulea sisi wenyewe ukakua na ukakomaa na sasa ni hatari hata kujaribu kuukosoa.

Kwa sasa naachia hapa ingawa nina mengi...
 
Back
Top Bottom