Lissu vs Tume -Both Decisions Will Add More Credits to Him

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Hakuna wakati mgumu wanapitia watumishi wa tume kama huu. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi haijawahi kupata mgombea machachari kama Tundu Lissu.

Mgombea anayewakemea waziwazi tena kabla hawajafanya maamuzi ya mwisho ya kupitisha wagombea wa urais. Mgombea anayejua sheria vizuri tena huenda kuliko baadhi ya wanatume wenyewe.

Lakini kubwa zaidi linalowapa uchovu ni maamuzi ya mwisho ya ama apite ama wamkate. Sababu maamuzi yote mawili yana same score kwa Tundu Lissu, ambayo ni kumuongezea credits zaidi kwake.

Sasa ndio mtajua nyakati huwa hazina ngao. Zikifika zimefika huwezi kuzizuia. Tundu Lissu ni kama maji, usipoyaoga lazima utayafulia, usipoyapikia lazima utayanywa.

Zikifikaga nyakati kama hizi ndipo huwa uzalendo unatakiwa uwekwe mbele zaidi. Kama upo kwenye nafasi ya kufanya maamuzi usiangalie maslahi ya kiumbe yeyote hata awe ndugu yako bali maslahi ya taifa kwanza.

Tukutane August 26 kujua tume wataamua kumpeleka TL upande upi.
 
Msijitoe ufahamu, Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama chake. Wakati wowote na muda wowote ule hakuna sheria inayomzuia kuwasiliana na Wanachama wake kama ilivyo kwa polepole, mangula, bashiru na wengineo wanavyofanya. CCM acheni bange.
 
Attachments

  • magu.jpeg
    magu.jpeg
    128.6 KB · Views: 5
Msijitoe ufahamu, Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama chake. Wakati wowote na muda wowote ule hakuna sheria inayomzuia kuwasiliana na Wanachama wake kama ilivyo kwa polepole, mangula, bashiru na wengineo wanavyofanya. CCM acheni bange.
Kweli aiseee
 
Hakuna wakati mgumu wanapitia watumishi wa tume kama huu. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi haijawahi kupata mgombea machachari kama TL.

Mgombea anayewakemea waziwazi tena kabla hawajafanya maamuzi ya mwisho ya kupitisha wagombea wa urais. Mgombea anayejua sheria vizuri tena huenda kuliko baadhi ya wanatume wenyewe.

Lakini kubwa zaidi linalowapa uchovu ni maamuzi ya mwisho ya ama apite ama wamkate. Sababu maamuzi yote mawili yana same score kwa TL, ambayo ni kumuongezea credits zaidi kwake.

Sasa ndio mtajua nyakati huwa hazina ngao. Zikifika zimefika huwezi kuzizuia. TL ni kama maji, usipoyaoga lazima utayafulia, usipoyapikia lazima utayanywa.

Zikifikaga nyakati kama hizi ndipo huwa uzalendo unatakiwa uwekwe mbele zaidi. Kama upo kwenye nafasi ya kufanya maamuzi usiangalie maslahi ya kiumbe yeyote hata awe ndugu yako bali maslahi ya taifa kwanza.

Tukutane August 26 kujua tume wataamua kumpeleka TL upande upi.
Alikatwa Lowassa na maisha yakaendelea, akafanya Jecha yake na Maisha yakaendelea, Who is Lissu Buda?. Kitu pekee ambacho wakataji wanapaswa kuwa na uhakika ni Kama Membe, Zitto, Maalim, Lipumba, Sipunda na Mbatia wataendelea kushiriki uchaguzi baada ya jamaa kukwanguliwa, watakuwa wamemaliza kazi. Watanzania sisi tunajijua, kwetu sisi Mchuma Janga hula na wakwao!
 
Wewe ndo unajua ivyo sisi tutakula na lissu
 
Alikatwa Lowassa na maisha yakaendelea, akafanya Jecha yake na Maisha yakaendelea, Who is Lissu Buda?. Kitu pekee ambacho wakataji wanapaswa kuwa na uhakika ni Kama Membe, Zitto, Maalim, Lipumba, Sipunda na Mbatia wataendelea kushiriki uchaguzi baada ya jamaa kukwanguliwa, watakuwa wamemaliza kazi. Watanzania sisi tunajijua, kwetu sisi Mchuma Janga hula na wakwao!
Mamvi alikatwa akiwa ndani ya chama chake. Hakukatwa na NEC. Sema mambo ya Jecha ndio yalikua balaa. Lkn tuache ushabiki kidogo wa kiitikadi. Unafikiri itakua ni rahisi tu kumkata huyu mgombea wa cdm? Huyu mgombea uelewa wake juu ya mambo ya sheria na kanuni na taratibu za uchaguzi anazifahamu vp hasa? Maana huyu mgombea sio mbugila mbugila km Mimi. Watakuja na sbbu gani hasa ya kumkata? Jana alitinga mahakama kuu kula kiapo na alitinga akiwa na Kibatala. Kibatala nafikiri unamuelewa ktk fani ya sheria. Sasa hivi vichwa viwili unavipa sbbu gani ya kumkata TL?
 
Wengi wa wasiofikiri wanadhani kumkata TL asigombee urais ni kumuondolea umaarufu. This action will make the nation vulnerable to mass unrest. Heri wamuruhusu agombee na tume imtendee haki.
 
Na mbaya zaidi huyu Lissu amekua akipinga yale anayo yaita mambo ya kihuni. Na jibu la hayo mambo ya kihuni amekua akilitoa sasa tuombe haki itendeke ili amani itawale daima.
 
Mamvi alikatwa akiwa ndani ya chama chake. Hakukatwa na NEC. Sema mambo ya Jecha ndio yalikua balaa. Lkn tuache ushabiki kidogo wa kiitikadi. Unafikiri itakua ni rahisi tu kumkata huyu mgombea wa cdm? Huyu mgombea uelewa wake juu ya mambo ya sheria na kanuni na taratibu za uchaguzi anazifahamu vp hasa? Maana huyu mgombea sio mbugila mbugila km Mimi. Watakuja na sbbu gani hasa ya kumkata? Jana alitinga mahakama kuu kula kiapo na alitinga akiwa na Kibatala. Kibatala nafikiri unamuelewa ktk fani ya sheria. Sasa hivi vichwa viwili unavipa sbbu gani ya kumkata TL?
Ha ha ha ha, hao ndio walisema wanakwenda ICC 2015, but where did it end!? Mkuu. Narudia wanachopaswa kufanya wakataji ni kuhakikisha ACT, CUF, NCCR na Mzes Rungwe they are in! Baada ya hapo sisi Watanzania tunamwachia kila mtu ale na wakwao!
 
Ha ha ha ha, hao ndio walisema wanakwenda ICC 2015 but did it end!? Mkuu. Narudia wanachopaswa kufanya wakataji ni kuhakikisha ACT, CUF, NCCR na Mzes Rungwe they are in! Baada ya hapo sisi Watanzania tunamwachia kila mtu ale na wakwao!
Ha ha ha ha.... Basi tuwe na subira kidogo tuone maana ngoma imeanza kunoga mapema sn....
 
Alikatwa Lowassa na maisha yakaendelea, akafanya Jecha yake na Maisha yakaendelea, Who is Lissu Buda?. Kitu pekee ambacho wakataji wanapaswa kuwa na uhakika ni Kama Membe, Zitto, Maalim, Lipumba, Sipunda na Mbatia wataendelea kushiriki uchaguzi baada ya jamaa kukwanguliwa, watakuwa wamemaliza kazi. Watanzania sisi tunajijua, kwetu sisi Mchuma Janga hula na wakwao!
Haya mambo yamekuzidi uwezo wa kufikiri.

Ushauri , jiunge na makundi ya kibao kata,
 
Hakuna wakati mgumu wanapitia watumishi wa tume kama huu. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi haijawahi kupata mgombea machachari kama TL.

Mgombea anayewakemea waziwazi tena kabla hawajafanya maamuzi ya mwisho ya kupitisha wagombea wa urais. Mgombea anayejua sheria vizuri tena huenda kuliko baadhi ya wanatume wenyewe.

Lakini kubwa zaidi linalowapa uchovu ni maamuzi ya mwisho ya ama apite ama wamkate. Sababu maamuzi yote mawili yana same score kwa TL, ambayo ni kumuongezea credits zaidi kwake.

Sasa ndio mtajua nyakati huwa hazina ngao. Zikifika zimefika huwezi kuzizuia. TL ni kama maji, usipoyaoga lazima utayafulia, usipoyapikia lazima utayanywa.

Zikifikaga nyakati kama hizi ndipo huwa uzalendo unatakiwa uwekwe mbele zaidi. Kama upo kwenye nafasi ya kufanya maamuzi usiangalie maslahi ya kiumbe yeyote hata awe ndugu yako bali maslahi ya taifa kwanza.

Tukutane August 26 kujua tume wataamua kumpeleka TL upande upi.
Wanafikiri kufanya uhuni ni jambo rahisi sana???? Watakimbia bunduki zao mwaka huu!!! Wajaribu tu kufanya uhuni wataona
 
Though, kiukweli natamani huyu Mwamba wamuache pamoja na kuzingua na Membe ajitoe ili angalau mpambano unoge
Ha ha ha yeye mwenyewe anaita kimbunga. Anaita tsunami. Sasa wakuacha kwa kawaida kimbunga hua hakitabilili. Kinaweza kikavuma mpk kikawashinda.... Ha ha ha kwa muda mfupi tu huyu jamaa kaja kabadilisha upepo wa kisiasa kabisa nchini. Na upande wa kijani wamekua kimya wakifanya mambo ya kimya na kuzichanga karata zao kimya na kwa utulivu. Maana ata vijana mitandaoni hawaonekani kurusha makombora sn. Juu ukimya una kitu. Lkn safari Hii kz ipo.... Kikubwa tuombee amani tu
 
Wanachekesha sana Lumumba. Wanafananisha Kibaraka wao Lowassa na Shujaa aliyeponywa na Mungu risasi 16 Tundu Antipas Lissu???
Kweli ni dhahili kuwa Lumumba hali ni mbaya sana sasaivi
Na kitu kimoja hao wanatambua kua misimamo ya TL ni mtu mwenye uelewa mkubwa na msema ukweli. Pia ni mtu asiekubali kushindwa. Na ni mtu wa kupambana kusimamia haki yake. Hii misimamo yake wanaifahamu vzr. Kwahiyo wanajua kabisa kz ipo
 
Mgombea anayewakemea waziwazi tena kabla hawajafanya maamuzi ya mwisho ya kupitisha wagombea wa urais. Mgombea anayejua sheria vizuri tena huenda kuliko baadhi ya wanatume wenyewe.

Hiyo kauli ☝️☝️imenikera sn

Mkuu Tundu Lissu anajua sheria kuliko hata mwanasheria mkuu wa serikali sio baadhi ya wanatume
 
Back
Top Bottom