Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
"Kiongozi Mkuu yuko too local" -
waraka
waraka
Hawa maCDM hata jina la diwani wake halijuwi anakurupuka na kujibu hoja ati Albert Kisando? Huyu ni Msando ex speaker pale UDSM!
Nyie vijana wa CDM mbona mbembwe nyingi sana lakini umakini mnakosa? Kukosea jina la mtu ni mbaya sana kisheria! We umesoma wapi? Kile chuo cha mapadri cha mwanza? Maana nao wanafunzi wao wanatupa shida sana hapa maofisini!
Next time proof read kazi yako before you post ndio uungwana! No hurry in academia!
Haya sasa, kazi imeanza...Yetu macho...
Albert Msando hana waledi wa kusimama kama wakili wa Zitto na Dr. Kitilla mkumbo (japo wanamakosa). Huyu ni mtu anayefanya mambo kiujanja ujanja siku zote. Kama uliangalia ile Press ni kwamba Albert alienda kukaa pale kujitafutia umaarufu kwa kuvaa viatu visivyo mtosha.leo katika vyombo vya habari, wakili wa kujitegemea na Diwani wa Kata ya Mabogini (cdm) ametoa kasoro za kisheria kwa Mwanasheria Mkuu wa cdm juu ya hukumu ya kitila mkumbo na zitto kabwe. Msando alisema katiba ya cdm inaeleza kuwa kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu kabla ya kupewa mashtaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewanafasi ya kujibu mashtaka hayo kwa maandishi, mwisho wa kunukuu.
napenda kumwambia Msando akasome katiba ya cdm vizuri hicho kifungu anachosema ni kwa viongozi yeyote wale wa kuchaguliwa, wa mabaraza, wenyeviti wastaafu, wawakilishi wa madiwani na wabunge ndio inawapaswa kufanya ivyo na sio wajumbe wa kuteuliwa kama wakina Kitila MKUMBO. kifungu ambacho kinawapa mamlaka ya kuwavua nyazifa ni hiki hapa.
7.7.16 Kazi za Kamati Kuu zitakuwa:-
(a) Kufanya utafiti wa wagombea na wa Uraisi na Mgombea Mwenza na kuwasilisharipoti zake kwa Baraza kuu kwa ajili ya mapendekezo yake kwa Mkutano Mkuu.
(b) Kuteua Wakurugenzi wa Idara Kuu za Chama Makao Makuu
(c) Kuteua Makatibu wa Wilaya na Mikoa
(d) Kuthibitisha uteuzi wa Sekretarieti za Wilaya.
(e) Kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu juu ya rufaa za uchaguzi na kinidhamu.
(f) Kuandaa na kutoa Mapendekezo kwa Baraza Kuu, Mikakati ya kuendesha shughuliza Chama kwa kila mwaka na kwa kipindi cha miaka mitano.
(g) Kuandaa na kutoa mapendekezo kwa baraza Kuu , Mikakati ya kupata mahitaji yaraslimali za kuendesha kampeni za wagombea wa Chama katika chaguzi za kiserikali.
(h) Kuandaa na kutoa mapendekezo kwa Baraza kuu ratiba na maelekezo ya uchaguzi wakichama.
(i) Kupitia na kutoa kwa Baraza Kuu mapendekezo ya haja ya kuzifanyia marekebishoau maboresho Kanuni za Chama ama Katiba ya Chama.
(j) Kujadili taarifa za Sekretarieti ya Kamati Kuu na kutoa maamuzi na maelekezo kwautekelezaji.
(k) Kusimamia utendaji kazi wa Sekretarieti ya Kamati Kuu
(l) Kufanya mapitio ya Sera za Chama na kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu kwakuzingatia matokeo ya Utafiti uliofanywa na Sekretarieti ya Kamati Kuu.
(m) Kusimamia utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya Baraza Kuu na MkutanoMkuu.
(n) Kuwa kiungo na kudumisha mahusiano mema kati ya Chama na vyama vingine vyasiasa nchini, Afrika Mashariki na nchi nyingine.
(o) Kuthibitisha ajira za watumishi wakuu wa Chama ngazi ya Taifa.
(p) Kuteua kamati au tume za kushughulikia masuala maalum ya kichama kwa mudamaalumu.
(q) Kuteua wakaguzi wa mahesabu ya Chama kwa kila mwaka
(r) Kuthibitisha uteuzi wa wagombea Uspika, Ubunge na Baraza la wawakilishi
Zanzibar
(s) Kuandaa agenda za Baraza Kuu na Mapendekezo ya agenda za Mkutano Mkuu.
(t) Kufanya uamuzi juu ya mpendekezo ya kufukuza Mwanachama.
(u) Kuandaa hoja za kupelekwa Bungeni na Wabunge wa Chama
(v) Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume nakatiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake.
(w) Kuratibu utendaji wa ofisi ndogo ya Makao Makuu Zanzibar.
(x) Kusimamia utendaji kazi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee.
(y) Kuteua wajumbe maalum wawili kuingia Kamati ya Utendaji ya Jimbo/Wilaya.
kwa kuwa mkumbo ni mjumbe wa kuteuliwa anaangukia kwy kifungu hicho hapo juu (v).
nawasilisha:
Usalama peeke na kuimarika kwa chadema kutakuwepo endapo tu ZZK atafukuzwa mojakwamoja.
Kumwacha ZZK ndani ya Chadema kwa maana yoyote ile nikuipeleka chadema makaburini na
mazishi atayafanya ZZK akiwaacha viongozi wapenzi, wanachama na mashabiki wa chadema
katika sintofahamu popote na ccm itajinasibu kwa ushindi.
Njia sahihi ya kuiendeleza, kuiimarisha na kuijengea heshima Chadema nikumfukuza ZZK na
sivinginevo.
Huyo wakili aache kuwaonea huruma wasaliti. Kuhurumia wasaliti ni sawa na kuishi na nyoka, black mamba, ndani ya nyumba yako. Au sawa na kumuacha mtu anayetoboa jahazi ambalo wote mnasafiria.
Sasa tuachane na mambo ya Zitto, turudi kwenye serious issue. MGAO WA UMEME umeanza kutufanya wengine maskini. Biashara zetu zimesimama na kipato kushuka. Jamani hii CCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza. Miaka 50 ya uhuru bila umeme wa uhakika...
Msando,yule rafiki mkubwa wa zitto na mfuasi wake mkuu tangu kwenye ile migogoro ya UDSM na mikutano ya pale nkrumah hall ... nakumbuka kauli yake moja siku alipokuja kutuliza munkari mgomo ulokuwa unaendelea " heri kuishi siku moja kama simba kuliko ... "samahani wana jf ni ALBERT MSANDO na si ALBERT KISANDO kwy Heading hapo juu.
Kaapa kuwa wa mwisho kutoka, kwa maana ya yeye ni special kuliko wanachama na viongozi wote wa CHADEMA.
Kitila naye hakukilia chabo kifungu hiki kabla ya kwenda kwenye press conference!!
Kwa ufupi ni kwamba Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali ni magenge ya watu wasiokuwa na msimamo kwa kile wanachokiamini