hapo kidogo sijaelewa, kamati kuu itafanyaje maamuzi kabla ya mtuhumiwa kujulishwa makosa yake na kupewa nafasi ya kujitetetea?
siku 14
hapo kidogo sijaelewa, kamati kuu itafanyaje maamuzi kabla ya mtuhumiwa kujulishwa makosa yake na kupewa nafasi ya kujitetetea?
CDM mumelogwa na nani? Mbona mnapigana vijembe wenyewe? Kuna mtu waCCM hapo? Kuna masalia katika Hilo?
Mnajimaliza wenyewe yangu macho
Mkuu Fuso, Lisu alipotoa press release ya CC. nilijua habahatishi, kichwa cha Lisu ni vichwa adimu sana, hata JK anajua hili.
msando akae kimya sana hata yeye anapaswa kuchunguzwa
Pambaneni wenyewe ndio kukujenga chama Kama Slaa alivyowahi kunena! Tukaneni sasa naona kambi ya ZZk na Lissu!
Msije mkasema mumelogwa na CCM! Siye hatupo hapo tunachapa kazi sie!
Pambaneni wenyewe ndio kukujenga chama Kama Slaa alivyowahi kunena! Tukaneni sasa naona kambi ya ZZk na Lissu!
Msije mkasema mumelogwa na CCM! Siye hatupo hapo tunachapa kazi sie!
hapo kidogo sijaelewa, kamati kuu itafanyaje maamuzi kabla ya mtuhumiwa kujulishwa makosa yake na kupewa nafasi ya kujitetetea?
leo katika vyombo vya habari, wakili wa kujitegemea na Diwani wa Kata ya Mabogini (cdm) ametoa kasoro za kisheria kwa Mwanasheria Mkuu wa cdm juu ya hukumu ya kitila mkumbo na zitto kabwe. Msando alisema katiba ya cdm inaeleza kuwa kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu kabla ya kupewa mashtaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewanafasi ya kujibu mashtaka hayo kwa maandishi, mwisho wa kunukuu.
napenda kumwambia Msando akasome katiba ya cdm vizuri hicho kifungu anachosema ni kwa viongozi yeyote wale wa kuchaguliwa, wa mabaraza, wenyeviti wastaafu, wawakilishi wa madiwani na wabunge ndio inawapaswa kufanya ivyo na sio wajumbe wa kuteuliwa kama wakina Kitila MKUMBO. kifungu ambacho kinawapa mamlaka ya kuwavua nyazifa ni hiki hapa.
7.7.16 Kazi za Kamati Kuu zitakuwa:-
(v) Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume nakatiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake.
Mkuu hapa kwenye (V), Tueleweshane vizuri, Kamati kuu in mamlaka ya kumvua uongozi mwanachama kwa KAMATI hi pekee au hata kwa kamati nyingine zote???
Binafsi mimi naona hiki kifungu ni kwa ajili ya Wajumbe wa kamati kuu tu!! Je kuhusu Wajumbe wa kamati nyingine CC pia inaweza kuwaachisa uongozi??
Fafanua vizuri ili twende kazi!!!
Tunajua alishawahi kuua! Kuna jambo lingine? Funguka kijana
Tunajua alishawahi kuua! Kuna jambo lingine? Funguka kijana
Kwa ufupi ni kwamba Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali ni magenge ya watu wasiokuwa na msimamo kwa kile wanachokiamini
Ana biashara ambazo hazieleweki.msando akae kimya sana hata yeye anapaswa kuchunguzwa
Upo sahihi kamanda,utajiri wake MSANDO ni mashaka matupu.sijui kama alishawahi kuuwa, hiyo ni strong allegations kama una evidence.
nina mashaka na utajiri wake.
achunguzwe kama ni halali au la kwani alikuwa karibu sana na ni rafiki mkubwa wa wakili Nyaga alietuhumiwa kuwa na utajiri wa kudhulumu wananchi vitalu na mashamba yao.
Ndiyo maana nasema ilikudhihilisha kwamba yeye nibinadamu kama wengine na kwamba yeye ni moja ya wanachama
wengi ni budi kumfukuza 100% kuondoa kiburi chake na wale wanaomtuma. Bila hivyo heshima ya cdm
itashuka sana.
walichofanyiwa Zitto,Kitila, na Mwigamba ni kuvuliwa NYADHIFA ZAO ZOTE NDANI YA CHAMA!Kifungu kinazungumzia kuhusu kuachishwa Ujumbe wa Kamati kuu, na si Uongozi. Sasa Msando anaweza kuwa sahihi katika suala la kuvuliwa uongozi kama katiba ya chama inavyosema!tusishabikie tuu bila kuwa makini kuhusu sheria zinasemaje. huwezi ku-construe hicho kifungu kwa kutaka kimaanishe pia kuwafukuza/kuwavua uongozi ndani ya chama.Kifungu kipo wazi tuu kuwa ni Ujumbe wa Kamati kuu na si Uongozi!nashauri kuwa wewe unayemjibu Msando ukae chini ukisome hicho kifungu vizuri kwa mapana yake!Ukija hivyo mahakamani,ukanikuta mimi kama hakimu, nakupiga chini mapema ukasome sheria vizuri!Revo hapa hujaelewa nini? mtoa mada anamaanisha kwamba kutenguliwa kuwa wajumbe wa kamati kuu kumefuata taratibu za chama!!
Wote wawili wanaangukia kwenye kifungu cha Tano, Ujumbe wao wa Kamati Kuu ni wa Kuteuliwa, ni nini hakieleweki.
Upo sahihi kamanda,utajiri wake MSANDO ni mashaka matupu.
msiwe wepesi wa hoja kiasi hicho,mtu akikugusa panapouma, ngao yako inakuwa kwenye maisha yake binafsi!The issue is whether he is right or wrong on this prob!Upo sahihi kamanda,utajiri wake MSANDO ni mashaka matupu.