Lissu: Unaweza kupingana na serikali yako kama Mwanasiasa wa Upinzani sio kama Msaliti wa Taifa

Ww c mwizi umekimbilia kwa wezi wenzako.unatafuta ujiko kwa lisu.utapiga poyoyo mpaka mdomo ukauke.
lisu msaliti ukiambiwa amesaliti nn kwa kivipi huna hoja.anyway labda kamsaliti mamako baada ya ww kuzaliwa.ngiri ww
mtatukana sana, ila pokeeni ujumbe muhimu. Kinachonisikitisha ki kwend nje kutibiwa halafu anajifanya anatangazia dunia, hao ndo watamsaidia? na anafikiri watachukua hatua ya kumwondoa huyo anamwita mbaya wake? au hatua zao zitawaumiza watanzania? Hana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Approach anayotumia Lissu kupingana na serikali kuelekea 2020 inamjengea taswira ya Usaliti kwa Taifa. Serikali yoyote duniani haiwezi kukubali mpinzani wa aina hii.

Hata Zitto ndani ya Chadema alishughulikiwa kwa hoja kuwa anashirikiana na maccm na kumchafua mwenyekiti ili apate uenyekiti wa Chama chake. Lissu akaja na misamiati ya Msaliti na Mhaini. Leo naona na yeye anatembea mle mle dhidi ya Taifa lake na Chama chake.

Namkumbusha Lissu tena Wazungu wana maslahi makubwa na Magufuli kuliko yeye hivyo anachofanya ni usaliti kwa serikali yake na Taifa lake na ni hatari kwake.

Pia akumbuke watu waliofuata approach yake walipoishia. Huwezi kupingana na serikali ya nchi yako kwa kuvaa uhusika wa Usaliti unakuwa kama sisimizi tu.

Baada ya muda mfupi Lissu utabaki peke yako. Badala ya ushawishi na mobilization wewe unataka kutangulia tukufuate nyuma. Yesu pamoja na miujiza yake watu walimkimbia hadi wanafunzi wake mpaka Petro aliyemuahidi watakufa wote.

Yesu huyo huyo aliwaambia waliojitoa mhanga kumfuata na kumlilia kuwa wasimlilie yeye bali wajililie wao na watoto wao. Watanzania wengi wanaishi kwa kufuata ushauri huu wa Yesu.

Lisu jitahidi kuwa na kuonekana mpinzani sio Msaliti wa nchi. Mataifa ya Magharibi yanaangalia maslahi yao. Ndio maana Saudia Wanatuhumiwa kumuua mwandishi wa habari ubalozini lakini wazungu wote kimya.

Kenya hapo aliuawa kiongozi wa tume ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kimyaaaa mpaka leo. Kagame na Museveni wanatuhumiwa mengi lakini wazungu wako kimyaaa.

Watanzania ndio nguvu na silaha yako wakikuelewa kuliko hao wazungu.

Msaliti adhabu yake ipo Lissu na wewe mwenyewe pamoja na Lema unaijua na mlikuwa mnamshinikiza Mbowe kuitumia kwa Zitto mara nyingi hata kwa Dr. Slaa. Adhabu ya Msaliti duniani kote ni ile ile haijawahi kubadilika Mimi naogopa na kukuhurumia.

Mimi naona Lissu analipizwa kwa siasa zake za ubaya. Kwa maoni yangu Lissu aliwafanyia ubaya mkubwa sana wa kisiasa Zitto na na Dr. Slaa leo na yeye yuko kwenye wakati kama wao.Atubu kwanza. Unalalamika kuonewa huku jamii inaaminishwa wewe ni Msaliti. Inauma sana.

Muda utatuambia na kutuonyesha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto nae anajidai yesu. Ukipigwa kofi na mtu mgeuzie na upande mwingine. Watu hawajasahau jinsi lissu alivyosimamia kuhakikisha zitto anatoswa kama alivyotaka mbowe. Na watu hawatasahau jinsi lissu alivyoungana na mbowe kumtosa dr slaa na kumpokea lowassa cdm kwa kupewa vipande vya fedha. Anavyohorojoka huko ulaya ni kama mlio wa fisi nyikani.
 
Lissu anajua anachofanya, hii hulka ya Waafrika wachache, wakiona kiongozi aleyeko madarakani anamwelekeo wa kusukuma nchi kwa ajili ya maendeleo, wanaibuka na kigeuka kama Lissu
 
mtatukana sana, ila pokeeni ujumbe muhimu. Kinachonisikitisha ki kwend nje kutibiwa halafu anajifanya anatangazia dunia, hao ndo watamsaidia? na anafikiri watachukua hatua ya kumwondoa huyo anamwita mbaya wake? au hatua zao zitawaumiza watanzania? Hana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa alili yako mbovu unafikiri lisu angefanya nn?unafikiri lisu ni ulimbwoka.unafikiri zama hazipiti?anaweza kukaa huko.awamu hi ikapita na akarudi na hakuna alichopoteza.kumbuka lisu c mara ya kwanza kukaa ulaya na amerika
 
Mtoa hoja inaonekana wewe upo LALA LAND,na endelea kuwa huko,tofautisha kati ya TAIFA na SERIKALI iliyopo madarakani,njaa yako na uoga wako unakufanya hata uwezo wako wa kuifikiria kuwa finyu,kabisa wewe kwa imani yako unaamini kuwa ni haki kabisa kwa nchi yetu kuendesha chaguzi zake kwa mfumo huu tuliokuwa nao,tume iteuliwe na no 1 na wao kazi yao ni kuandaa uchaguzi ngazi ya taifa na ngazi zingine political appointee ndio wasimamie chaguzi hizi;kwako unaona ni sawa wakati no 1 ana uwezo wa kuteua nusu ya civil servants(seniors)bila ya kupitia bunge;wewe unaona ni sawa kwa kutokuwa na freedom of press,wewe unaona ni sawa nchi yetu kuwa kama choo(kila mtu ana uwezo wa kuingia na kutoka na kufanya u\anayoyataka ).sio lazima kuwa uwe unatoa hoja sometime ni vema ukawa ni msomaji tu.endeleza njaa yako
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Approach anayotumia Lissu kupingana na serikali kuelekea 2020 inamjengea taswira ya Usaliti kwa Taifa. Serikali yoyote duniani haiwezi kukubali mpinzani wa aina hii.

Hata Zitto ndani ya Chadema alishughulikiwa kwa hoja kuwa anashirikiana na maccm na kumchafua mwenyekiti ili apate uenyekiti wa Chama chake. Lissu akaja na misamiati ya Msaliti na Mhaini. Leo naona na yeye anatembea mle mle dhidi ya Taifa lake na Chama chake.

Namkumbusha Lissu tena Wazungu wana maslahi makubwa na Magufuli kuliko yeye hivyo anachofanya ni usaliti kwa serikali yake na Taifa lake na ni hatari kwake.

Pia akumbuke watu waliofuata approach yake walipoishia. Huwezi kupingana na serikali ya nchi yako kwa kuvaa uhusika wa Usaliti unakuwa kama sisimizi tu.

Baada ya muda mfupi Lissu utabaki peke yako. Badala ya ushawishi na mobilization wewe unataka kutangulia tukufuate nyuma. Yesu pamoja na miujiza yake watu walimkimbia hadi wanafunzi wake mpaka Petro aliyemuahidi watakufa wote.

Yesu huyo huyo aliwaambia waliojitoa mhanga kumfuata na kumlilia kuwa wasimlilie yeye bali wajililie wao na watoto wao. Watanzania wengi wanaishi kwa kufuata ushauri huu wa Yesu.

Lisu jitahidi kuwa na kuonekana mpinzani sio Msaliti wa nchi. Mataifa ya Magharibi yanaangalia maslahi yao. Ndio maana Saudia Wanatuhumiwa kumuua mwandishi wa habari ubalozini lakini wazungu wote kimya.

Kenya hapo aliuawa kiongozi wa tume ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kimyaaaa mpaka leo. Kagame na Museveni wanatuhumiwa mengi lakini wazungu wako kimyaaa.

Watanzania ndio nguvu na silaha yako wakikuelewa kuliko hao wazungu.

Msaliti adhabu yake ipo Lissu na wewe mwenyewe pamoja na Lema unaijua na mlikuwa mnamshinikiza Mbowe kuitumia kwa Zitto mara nyingi hata kwa Dr. Slaa. Adhabu ya Msaliti duniani kote ni ile ile haijawahi kubadilika Mimi naogopa na kukuhurumia.

Mimi naona Lissu analipizwa kwa siasa zake za ubaya. Kwa maoni yangu Lissu aliwafanyia ubaya mkubwa sana wa kisiasa Zitto na na Dr. Slaa leo na yeye yuko kwenye wakati kama wao.Atubu kwanza. Unalalamika kuonewa huku jamii inaaminishwa wewe ni Msaliti. Inauma sana.

Muda utatuambia na kutuonyesha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mchambuzi mwenye maono na mawazo finyu zaidi ya kiwango cha shahada ya uzamivu! Kajiunge na chakubanga mpige mboyoyo!
 
Mambo ya ndani hayo kuyapeleka kwa majirani wa mbali ni usaliti

Back
Top Bottom