Lissu: Unaweza kupingana na serikali yako kama Mwanasiasa wa Upinzani sio kama Msaliti wa Taifa

Benson Mramba

Verified Member
Oct 29, 2013
588
1,000
Approach anayotumia Lissu kupingana na serikali kuelekea 2020 inamjengea taswira ya Usaliti kwa Taifa. Serikali yoyote duniani haiwezi kukubali mpinzani wa aina hii.

Hata Zitto ndani ya Chadema alishughulikiwa kwa hoja kuwa anashirikiana na maccm na kumchafua mwenyekiti ili apate uenyekiti wa Chama chake. Lissu akaja na misamiati ya Msaliti na Mhaini. Leo naona na yeye anatembea mle mle dhidi ya Taifa lake na Chama chake.

Namkumbusha Lissu tena Wazungu wana maslahi makubwa na Magufuli kuliko yeye hivyo anachofanya ni usaliti kwa serikali yake na Taifa lake na ni hatari kwake.

Pia akumbuke watu waliofuata approach yake walipoishia. Huwezi kupingana na serikali ya nchi yako kwa kuvaa uhusika wa Usaliti unakuwa kama sisimizi tu.

Baada ya muda mfupi Lissu utabaki peke yako. Badala ya ushawishi na mobilization wewe unataka kutangulia tukufuate nyuma. Yesu pamoja na miujiza yake watu walimkimbia hadi wanafunzi wake mpaka Petro aliyemuahidi watakufa wote.

Yesu huyo huyo aliwaambia waliojitoa mhanga kumfuata na kumlilia kuwa wasimlilie yeye bali wajililie wao na watoto wao. Watanzania wengi wanaishi kwa kufuata ushauri huu wa Yesu.

Lisu jitahidi kuwa na kuonekana mpinzani sio Msaliti wa nchi. Mataifa ya Magharibi yanaangalia maslahi yao. Ndio maana Saudia Wanatuhumiwa kumuua mwandishi wa habari ubalozini lakini wazungu wote kimya.

Kenya hapo aliuawa kiongozi wa tume ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kimyaaaa mpaka leo. Kagame na Museveni wanatuhumiwa mengi lakini wazungu wako kimyaaa.

Watanzania ndio nguvu na silaha yako wakikuelewa kuliko hao wazungu.

Msaliti adhabu yake ipo Lissu na wewe mwenyewe pamoja na Lema unaijua na mlikuwa mnamshinikiza Mbowe kuitumia kwa Zitto mara nyingi hata kwa Dr. Slaa. Adhabu ya Msaliti duniani kote ni ile ile haijawahi kubadilika Mimi naogopa na kukuhurumia.

Mimi naona Lissu analipizwa kwa siasa zake za ubaya. Kwa maoni yangu Lissu aliwafanyia ubaya mkubwa sana wa kisiasa Zitto na na Dr. Slaa leo na yeye yuko kwenye wakati kama wao.Atubu kwanza. Unalalamika kuonewa huku jamii inaaminishwa wewe ni Msaliti. Inauma sana.

Muda utatuambia na kutuonyesha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,484
2,000
Umenena!!! Binadamu tunahulka ya kusahau!! Kipindi hicho huyu huyu Lissu anayelalamika alichangia sehemu kubwa sana hadi Zitto kabwe akaondoka!!!

Alitamka neno usaliti bila haya kwa Zitto kabwe!!! Kijana machachari sana mwenye kujua siasa ni nini alijibu kwa hekima sana tuhuma zote hadi siku ile anaaga bungeni nakumbuka chozi lake ( Zitto) kiubinadamu chozi lile halikuwa bure hapana!!! Na kwakweli Kati ya wapinzani Zitto kabwe ni safi kabisa kwani anajua nini anachokifanya!!

Malipo ni hapa hapa duniani!!! Ila akumbuke wazungu wanayao!!! Asijione watu wanaompa kichwa kwenye mitandao watakuwa nae siku zote!!!! Kila kitu kina expiring date !!! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!! Anaona anajijenga ila anajenga nyumba ya tembe muda wowote inaweza kuangushwa na mvua kubwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makinikia halisi

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
558
1,000
duuh!!! mungu hatetewi huwa anajitetea daima..sasa hyo mungu mtu wa lumumba mbona anatetewa sana. Ukipenda kusifiwa pia upende kukosolewa. Kwa kifupi ni hivi ccm mko wachache sana. hamjai kwenye ballot box. kinachowabeba ni dola manlijua hilo. kwa kifupi watanzania walio wengi hawaipendi ccm msema kweli ni kura mnazoiba. Kama hupendwi hupendwi tu ata usingizie na utishie watu vipi.ccm nmaongoza watu wasiowapenda ndio maana mnapata tabu sana.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,350
2,000
Viongozi wa ccm siyo Taifa , hawa ni binadamu tu , watapita kama alivyopita kikwete na nchi itabaki , usichanganye mambo
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
5,400
2,000
Usiwe na tabia ya kulinganisha mambo au mifano ya kiimani na mambo ya kijinga.
 
GEBA2013

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
3,758
2,000
Ww c mwizi umekimbilia kwa wezi wenzako.unatafuta ujiko kwa lisu.utapiga poyoyo mpaka mdomo ukauke.
lisu msaliti ukiambiwa amesaliti nn kwa kivipi huna hoja.anyway labda kamsaliti mamako baada ya ww kuzaliwa.ngiri ww
 
lubamba

JF-Expert Member
Jan 13, 2015
936
1,000
Umenena!!! Binadamu tunahulka ya kusahau!! Kipindi hicho huyu huyu Lissu anayelalamika alichangia sehemu kubwa sana hadi Zitto kabwe akaondoka!!!

Alitamka neno usaliti bila haya kwa Zitto kabwe!!! Kijana machachari sana mwenye kujua siasa ni nini alijibu kwa hekima sana tuhuma zote hadi siku ile anaaga bungeni nakumbuka chozi lake ( Zitto) kiubinadamu chozi lile halikuwa bure hapana!!! Na kwakweli Kati ya wapinzani Zitto kabwe ni safi kabisa kwani anajua nini anachokifanya!!

Malipo ni hapa hapa duniani!!! Ila akumbuke wazungu wanayao!!! Asijione watu wanaompa kichwa kwenye mitandao watakuwa nae siku zote!!!! Kila kitu kina expiring date !!! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!! Anaona anajijenga ila anajenga nyumba ya tembe muda wowote inaweza kuangushwa na mvua kubwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mnayatambua nyie.Ila Lissu na Zitto wapo pamoja muda wote.Ukimtafuta MTU aliyemfariji Lissu ktk matatizi Haya Zitto anaweza akawa namba 1 au 2.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,012
2,000
Approach anayotumia Lissu kupingana na serikali kuelekea 2020 inamjengea taswira ya Usaliti kwa Taifa. Serikali yoyote duniani haiwezi kukubali mpinzani wa aina hii.

Hata Zitto ndani ya Chadema alishughulikiwa kwa hoja kuwa anashirikiana na maccm na kumchafua mwenyekiti ili apate uenyekiti wa Chama chake. Lissu akaja na misamiati ya Msaliti na Mhaini. Leo naona na yeye anatembea mle mle dhidi ya Taifa lake na Chama chake.

Namkumbusha Lissu tena Wazungu wana maslahi makubwa na Magufuli kuliko yeye hivyo anachofanya ni usaliti kwa serikali yake na Taifa lake na ni hatari kwake.

Pia akumbuke watu waliofuata approach yake walipoishia. Huwezi kupingana na serikali ya nchi yako kwa kuvaa uhusika wa Usaliti unakuwa kama sisimizi tu.

Baada ya muda mfupi Lissu utabaki peke yako. Badala ya ushawishi na mobilization wewe unataka kutangulia tukufuate nyuma. Yesu pamoja na miujiza yake watu walimkimbia hadi wanafunzi wake mpaka Petro aliyemuahidi watakufa wote.

Yesu huyo huyo aliwaambia waliojitoa mhanga kumfuata na kumlilia kuwa wasimlilie yeye bali wajililie wao na watoto wao. Watanzania wengi wanaishi kwa kufuata ushauri huu wa Yesu.

Lisu jitahidi kuwa na kuonekana mpinzani sio Msaliti wa nchi. Mataifa ya Magharibi yanaangalia maslahi yao. Ndio maana Saudia Wanatuhumiwa kumuua mwandishi wa habari ubalozini lakini wazungu wote kimya.

Kenya hapo aliuawa kiongozi wa tume ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kimyaaaa mpaka leo. Kagame na Museveni wanatuhumiwa mengi lakini wazungu wako kimyaaa.

Watanzania ndio nguvu na silaha yako wakikuelewa kuliko hao wazungu.

Msaliti adhabu yake ipo Lissu na wewe mwenyewe pamoja na Lema unaijua na mlikuwa mnamshinikiza Mbowe kuitumia kwa Zitto mara nyingi hata kwa Dr. Slaa. Adhabu ya Msaliti duniani kote ni ile ile haijawahi kubadilika Mimi naogopa na kukuhurumia.

Mimi naona Lissu analipizwa kwa siasa zake za ubaya. Kwa maoni yangu Lissu aliwafanyia ubaya mkubwa sana wa kisiasa Zitto na na Dr. Slaa leo na yeye yuko kwenye wakati kama wao.Atubu kwanza. Unalalamika kuonewa huku jamii inaaminishwa wewe ni Msaliti. Inauma sana.

Muda utatuambia na kutuonyesha mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unaweza kufeel maumivu ya risasi 16 mwilini? Nafikiri lissu anayafanya haya baada ya kupigwa risasi
 
  • Thanks
Reactions: MTK

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,012
2,000
Umenena!!! Binadamu tunahulka ya kusahau!! Kipindi hicho huyu huyu Lissu anayelalamika alichangia sehemu kubwa sana hadi Zitto kabwe akaondoka!!!

Alitamka neno usaliti bila haya kwa Zitto kabwe!!! Kijana machachari sana mwenye kujua siasa ni nini alijibu kwa hekima sana tuhuma zote hadi siku ile anaaga bungeni nakumbuka chozi lake ( Zitto) kiubinadamu chozi lile halikuwa bure hapana!!! Na kwakweli Kati ya wapinzani Zitto kabwe ni safi kabisa kwani anajua nini anachokifanya!!

Malipo ni hapa hapa duniani!!! Ila akumbuke wazungu wanayao!!! Asijione watu wanaompa kichwa kwenye mitandao watakuwa nae siku zote!!!! Kila kitu kina expiring date !!! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!! Anaona anajijenga ila anajenga nyumba ya tembe muda wowote inaweza kuangushwa na mvua kubwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi haya maelezo ya hakuna marefu yasiyo na ncha unamwambia lissu pekee au unawaambia wote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom