Lissu: Ole wao nipone

mbona h

Mbona hiyo albadir haijawapata tu hao akina Makonda?
Hukumsikia yule jamaa aliyezuia maombi anaomba aombewe?

Bado kitambo kidogo utajua na kutambua.
 
Atawafanya nini?Atulie apatiwe tiba, siyo wakati wakuanza kutomboka sasa hv tiba kwanzaaaaa
 
Imezidi sasa, naona wameona watumie Jina la Mgonjwa kuuzia magazeti yao.

Wamuache Kamanda apone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…