shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Haya magazeti yametuchosha sasa wamwache Mheshimiwa Tundu Lissu apone. Isiwe kila siku headline ya kutafutia masoko magazeti
Punguza upunguani hiyo gazeti ni chadema?CHADEMA mnajiabisha wenyewe
Kwa kumlisha maneno mtu anaye semekana yuko hoi bin tabaani
Samahani jamani. Ivi alieanguka bafuni juzi ni nani?mbona h
Mbona hiyo albadir haijawapata tu hao akina Makonda?
MboweSamahani jamani. Ivi alieanguka bafuni juzi ni nani?
Walianzia kwa JK !Isijekua wanamlisha maneno tu
nakubaliana na weweHaya magazeti yametuchosha sasa wamwache Mheshimiwa Tundu Lissu apone. Isiwe kila siku headline ya kutafutia masoko magazeti
....Fisi maji utawajua tuu.Hana atakalofanya ataumia tu
Waliowatuma .Ole Wake Kina Nani?Watu Wasiojulikana?
Sijui tutastaarabika linihii ni aibu.Mtu hajawahi kuongea na media halafu gazeti linaibuka na kauli yake.Upotoshaji mtupu umefanyika. Hii habari pia ingeonekana kwenye vyombo vingine vya habari
Wameishaanza kudondoka bafuni mmoja mmoja, huna habari? Halafu uliambiwa albadir huwa inachukua muda gani kuleta matokeo?Albadiri imeshindikana? Hakuna haja tena yuko safi.
Ni kweli tumwombee apone, halafu tusubiri siku akisema serikali haihusiki ndipo magazeti yaandike!Sijui tutastaarabika lini
Tumwombee mgonjwa apone hizi drama zingine tuziweke kando...
Wamekuambia kuwa haijawapata?mbona h
Mbona hiyo albadir haijawapata tu hao akina Makonda?
Acha kaka waandike biashara wataandika niniHaya magazeti yametuchosha sasa wamwache Mheshimiwa Tundu Lissu apone. Isiwe kila siku headline ya kutafutia masoko magazeti