Lissu: Ole wao nipone

Lissu: Ole wao nipone

Haya magazeti yametuchosha sasa wamwache Mheshimiwa Tundu Lissu apone. Isiwe kila siku headline ya kutafutia masoko magazeti
Haya ni matunda ya vigazeti uchwara na waandishi uchwara.
 
Kuhusu kinachoendelea juu ya mh.lissu ni rahisi kujua majuha kupitia comments zao ndio maana sitaona Haya kuwalabel majina ya mashetani na misukule na wala hawana uwezo wa kunifanya chochote.wakati watu tuna huzuni kwa tukio la kishetani wengine wanatuletea upuuzi wao.
 
Ili gazeti kweli lipo biased sana sana iyo habari ya nyuki uko Kenya
 
mbona h

Mbona hiyo albadir haijawapata tu hao akina Makonda?
Imewapata. Sikia kauli zao zinazopingana."Ni msaliti, hastahili kuishi".......Nimesikitishwa na shambulio dhidi ya TL. "Wamekiuka taratibu za ki bunge, hatutagharamia".......Tupo tayari kugharimia matibabu ya TL popote duniani. Ila familia itoe maombi. Kwa kauli hizi chache za kujichanganya kwanini tusifikiri albadiri imewapata?
 
Hizo kauli inaelekea hujui tofauti ya Bunge (Parliament) na Serikali (Executive) Ndugai aliongea taratibu zao kibunge bunge wanafanya nn na Ummy aliongea kama Waziri jinsi serikali (Executive) wana fanya mambo yao
 
Back
Top Bottom