Lissu ni bora ukakaa kimya

Lissu ni bora ukakaa kimya

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,289
Reaction score
1,426
Nimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum
 
kwani unateseka??
 
Ushauri wako typically wehu

You need this man be murdered

And advocating willingness to context presidential tittle psychologically must people be prepared over a long period of time

Utakuwa chizi wewe

Kuhusu kutembelea vituo kikubwa ulimwenguni nihaki yake.

Acha ulimwengu ujionee maajabu ya Mungu kumponya mja wake. Anatangaza utukufu wa Mungu.

Anabaki na nihaki yake.
 
Una hofu gani Mkuu? Ingekuwa bora wewe Ukakaa Kimya. Au Lisu kakutishia maisha?
 
kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa
 
Lissu hawezi kurudi Tanzania. Kwa hayo anayoyafanya ni lazima ata seek political asylum. Dawa ya mpumbavu ni kuwa mpumbavu zaidi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona roho zinawauma sana, ipo siku tutasikia mmejinyonga,,.. rais watu mtarajiwa Tundu A Lissu shikilia hapo hapo usiachilie
 
kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa

Baba muwaji huwa ananyongwa vilevile, kama vipi mchinje mwanzo uone!

Huwezi kuwa na baba ambaye
Unataka kukuuwa
Anakufungulia kesi za kizushi mfululizo
Anakunyima pesa za matibabu

Sio sawa kabisa
 
kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa
Kwa Jinsi walivyomfanyia kina BASHITE hakika bado wana hasira nae,kwa sasa TZ si salama kwa Lissu unless awe na ulinzi wa kufa mtu 24hrs!! Yaani Awe na CONVOY Full Equipped 24/7..
 
kwa anayoyafanya sasahivi sidhani kama anania ya kurudi nyumbani huwezi kwenda nye kumtukana baba yako au familia yenu halafu ukishamaliza kuichafua ndiyi una kuja kupiga hodi humu ndani nimerudi bora akishamaliza upuuzi wake anaofanya atafute na mahala pa kuendeshea shughuri zake hatumpendi kabisaaaaa
Pole mwambie baba yako kuwa hii ni nchi ya watz wote. Afuate na kuheshimu katiba na sheria za nchi. Kinyume chake yeye na nyie wapambe wake ndio mtaifanya nchi iwe kama Sudan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mwambie baba yako kuwa hii ni nchi ya watz wote. Afuate na kuheshimu katiba na sheria za nchi. Kinyume chake yeye na nyie wapambe wake ndio mtaifanya nchi iwe kama Sudan.
tatizo mnachukulia kila kitu siasa katiba inafuatwa kila ktu kiko sawa shida yenu mmezoea vya kunyonga vyakuchinja vinawashinda fanyeni kazi acheni kulalamika hovyo
 
Nimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum
Pole sana mtazamo wako wafanana na wa wale marafiki wa Ayub(wa biblia) walokuwa wanatumwa na shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wako typically wehu

You need this man be murdered

And advocating willingness to context presidential tittle psychologically must people be prepared over a long period of time

Utakuwa chizi wewe

Kuhusu kutembelea vituo kikubwa ulimwenguni nihaki yake.

Acha ulimwengu ujionee maajabu ya Mungu kumponya mja wake. Anatangaza utukufu wa Mungu.

Anabaki na nihaki yake.
Well analytical stuff Mkuu. Nakubaliana na wewe 100%. Juzi M/kiti wa UVCCM comrade Kheri James alitamka maneno makali sana dhidi ya watu kama Lissu ni adui wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo mnachukulia kila kitu siasa katiba inafuatwa kila ktu kiko sawa shida yenu mmezoea vya kunyonga vyakuchinja vinawashinda fanyeni kazi acheni kulalamika hovyo
Siasa ni kazi.
Kuwanyima wanasiasa wengine kufanya kazi zao kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi hii ni kuvunja katiba.
Nchi huendeshwa kwa katiba na sio Matamko matamko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu will not come back,until the mission is accomplished and all killers exposed all over the world.
 
Back
Top Bottom