Nahisi sijakuelewa na sidhani kama nitakuelewa, sijajua umetoa ushauri au point gani hasa umejikita nayo/Nimemsikia Mheshimiwa Tundu Lissu akijibu swali Kama atagombea urais ktk uchaguzi ujao kukabiliana na Rais Magufuli, Chadema kwa sasa inapita ktk kipindi kigumu sana sababu Viongozi wote waandamiza wana kabiliwa na Kesi na wengine wako gerezani kwa kukiuka masharti ya dhamana akiwewo Yule jamaa uliesema kuwa Kama usingekuwa ujeuri wake wa kuamua upelekwe Nairobi usingenge. kuwa hai leo.Tumeshuhudia rafu nyingi sana kwenye chuguzi za marudio Nina hakika uchaguzi mkuu pia zitakuwepo.Nia ya uchaguzi in kuingia na kutoa upinzani sio kushiriki tu. Umedai kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi.
Nadhani sasa ungerudi jimboni kwako na kuachana na kufanya mahujiano na vituo vya.habari vya kimataifa Kama vile CNN ,Fox news , Sky news na Al jazeera.To me you are medically fit, only what you need is surgical follow up which can be arranged while you are in Tanzania,Please come back home or seek political asylum
Issue ni TAML kugombea uraisi au CDM inapitia wakati mugumu?
Maana kama ni TAML kuhojiwa na vyombo vya kimataifa , hiyo ni haki yake na ukiona hadi anahojiwa na hivyo vyombo maana yake ni mtu muhimu mno, kama unabisha waulize hao ndugu zako ni nani amehojiwa na hivyo vyombo vya kimataifa au yule mzee kijana alieshangilia kuupata mwana CCm mpya (Sucker).
Nawashangaa sana kumunywesha maneno Lisu,hivi ni wapi alisema anampango wa kugombea uraisi/
Alichosema ni kuwa, yeye ni mwanachama wa CDm,iwapo ataaminiwa na chama na pia vyama washirika wa CDm kwa maana ya UKAWA wakiona anafaa na wakamtuma yeye hatakuwa na objections.
Anyway, ni uelewa wa mtu.