Lissu naye kuenguliwa

Lissu naye kuenguliwa

Status
Not open for further replies.
hata kama Lissu akienguliwa bado hawawezi kuambulia kitu, na rekodi ya CHADEMA ni nzuri sana nakumbuka uchaguzi wa 2010 ni jimbo moja walipoteza TARIME na mengine yote waliyakomboa
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Kama wana hela za kuchezea waendelee na mchezo mabwana wa serikali wakikata misaada si tutakula majani kama ilivyo bendera ya rangi ya CCM?!!!!
 
yani tutawabuluza ata wakienda mahakamani kuonga!
 
Mahakama ni chombo huru wana haina link na usalama wa taifa wala CCM. Kumbuka wanaitwa usalama wa Taifa na si usalama wa CCM. Kama Lissu alifunja sheria rungu la mahakama litamgonga tu. Tuachie mahakama iwe huru ifanye kazi yake
 
CCM chochote kinawezekana, kwangu mimi hata kama wakiondoa wabunge wote wa CDM, lakini je roho na mioyo ya watu kuhusu CDM wataiondoa?
 
NAPE alishatoa Hukumu ya LEMA mkapuuza, Mahakama leo haijatoa hukumu bali imepiga muhuri hukumu ililyotolewa na NAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, , , E Mungu asikie dua la PEEEOPLESEEE POWERSSSSSSSSSSSS
 
Tatizo kubwa watanzania tunalopambana nalo kwa sasa ni mfumo mzima wa serikali yetu; watendaji wote wa serikali ni kada wa CCM, na hili lilifanyika hivyo sababu ya mfumo wa chama kimoja kwani zamani iliuajiriwe ilikuwa lazima uwe na kadi ya chama!. Ni pale tu tutakapoweza kuwatenga watendaji wa serikali na itikadi ya CCM, ndipo ukombozi wa nchi hii utakapopatikana! Hatuko mbali kulifikia hili, shime watanzania tukaze buti. Hawa majaji waki-CCM wataondoka na kizazi chao.
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

ccm hawana maana. Watamtoa makongoro swadaka. We ngojeni tu, halafu wasijue kuwa ndio angamizo lao
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Wapuuzi tu hawa woote CCM, majaji, Usalama ......n.k mbinu wanazotumia ni za kijnga sasa utaona nani atakuwa frasrated.....CCM au CDM!?

mwisho wa siku CDM ndiyo inajijenga zaidi ya CCM kwa chaguzi hizi.
 
actually huo mpango hauwafrustrate CHADEMA,

unafrutrate zaidi wananchi na pia unaongeza ile kura ya huruma kwa chadema na pia kuongeza chuki wka CCM....

it is suicidal to say the least!!!
 
Mahakama ni chombo huru wana haina link na usalama wa taifa wala CCM. Kumbuka wanaitwa usalama wa Taifa na si usalama wa CCM. Kama Lissu alifunja sheria rungu la mahakama litamgonga tu. Tuachie mahakama iwe huru ifanye kazi yake

Mkuu ni ngumu sana kutofautisha usalama wa Taifa na CCM. Karl Marx once said; The ideas of the ruling class are the ruling ideas.
This is what is happening today in Africa.
Usalama wa Taifa kwa wenzetu wanalinda interests za state, na sio za viongozi. Kiongozi akiwa burden to the state, he is eliminated. The examples are many.....

In african countries, usalama wa Taifa wanalinda maslai ya viongozi wa State.
Na ndio maana, Africa leaders get away with all the blunders and scandals......

wadau wana sababu za muhimu kusema hivyo.
 
Tatizo kubwa watanzania tunalopambana nalo kwa sasa ni mfumo mzima wa serikali yetu; watendaji wote wa serikali ni kada wa CCM, na hili lilifanyika hivyo sababu ya mfumo wa chama kimoja kwani zamani iliuajiriwe ilikuwa lazima uwe na kadi ya chama!. Ni pale tu tutakapoweza kuwatenga watendaji wa serikali na itikadi ya CCM, ndipo ukombozi wa nchi hii utakapopatikana! Hatuko mbali kulifikia hili, shime watanzania tukaze buti. Hawa majaji waki-CCM wataondoka na kizazi chao.

Na ndio maana mtu akiwa upinzani anaoneka adui au social outcast.
Lakini, hii ndio democracy.
 
Mfa maji haachi kutapatapa,magamba maji shingoni,hata iweje mabadiliko lazima,ni muda tu ndio utaamua,na upesi utawadia!.MWANGA HUSHINDA NGUVU ZA GIZA DAIMA!
 
Chadema 4 life
movement 4 critical changes
solidarity forever...\/
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom