Lissu naye kuenguliwa

Lissu naye kuenguliwa

Status
Not open for further replies.
lissu akienguliwa najua 2015 kuna vita bongo...
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Mwambie huyo jamaa yako wa Usalama wa Taifa na yeye ni fisadi tu. Kilichompeleka huko ni nini wakati yeye ahusiki na kesi? Analipwa na nani au kajitolea kufanya kazi ya CCM? Mpe pole kwa kuwasaliti wanademokrasia.
 
Mungu mkubwa kwani magama yanfikili yanawakomesha cdm kumbe wanatusaidia kuifundisha kweli kwa watu wa mataifa(vijijini)ili ifikapo 2015 wakati wa ukombozi kila mtanzania awe ameipata elimu ya kweli tayari kwa ukombozi....they are cheap populality which will cost them....wajiulize igunga mpaka leo kafumo kakalia kuti la moto achilia mbaili ongezeko la kura kwa chadema....arumeru toka washindi wa pili mpaka mshindi....uzuri wanatumia masaburi kufikili ni ngumu kuliona hili
 
Nalia na gharama za uchaguzi.

Jamani, bado tuna mahitaji mengi sana. Hizi chaguzi zinaligharimu taifa.

NIKITAFAKARI RESOURCES ZILIZOTUMIKA Igunga na Arumuru, SINA HAMU NA CHAGUZI NDOGO.
 
Kuna kitu ki1 watawala wote wabovu wanacho, nacho 1 ya tumaini kuelekea ukombozi Tz.....huwa wanajisahau.
 
Kura za hasira ziliwaumiza sana Ccm 2010, na zinazidi kuongezeka
 
hadi sasa mwenendo wa kesi jinsi ulivyo hata kama huyo jaji anayesikiliza kesi ni mkwe wao hawezi kumvua Lissu ubunge coz kila shahidi akisikia ataulizwa maswali na TL ghafla anashikwa na tumbo la kuharisha na kudissappear
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Mwishowe mtaanza kusema na Ndesamburo kuenguliwa bure. . .
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
Na Mahanga?
 
Mahakama ni chombo huru wana haina link na usalama wa taifa wala CCM. Kumbuka wanaitwa usalama wa Taifa na si usalama wa CCM. Kama Lissu alifunja sheria rungu la mahakama litamgonga tu. Tuachie mahakama iwe huru ifanye kazi yake

Hongera kwa kuendelea kuishi kwa matumaini. Kati ya wewe na Jaji Mkuu anayeongoza mahakama unayodai kuwa iko huru tumwamini nani? Jaji mkuu anasema serikali inaingilia mahakama wewe (Wakuti) unadai iko huru, uhuru huo inaupata chini ya uongozi gani? Inaelekea hujui ulisemalo. Siri ya mtungi aijuaye kata. Asante kwa kutuvurumishia porojo. Wateja uliowapigia hawapatikani JF kwa sasa jaribu tena baadaye!
 
wanachofanya MAGAMBA ni kuwaweka busy wabunge wa CDM na kesi ili wasiwatumikie wananchi ili next election ionekane they did nothing
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone
teh teh teh......! geuza hiiiwe vais vesa.
ukweli ni kua cm wakifanya hivi watakua wanajiengua katika majimbo yote watakamo fanya hivi.
ukitaka kuamni haya subiri kwanza matokeo ya arusha mjini yatakuhakikishia.
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Hivi ukiwa na jamaa wako usalama ndo kazi yao kuwapa habari eeeh.basi kweli nchi hii ina idara ya usalama..
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Mahanga atatoka kweli?....nahamia Somali au Sudan nikafe jamaa akichomoa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom