Lissu naye kuenguliwa

Lissu naye kuenguliwa

Status
Not open for further replies.
Wakuu kwa taarifa zilizo nifikia hapa muda ni kwamba baada ya hawa wajamaa kufa na Lema sasa amri iko wima kwamba Mnyika lazima aondoke afuatiwe na Lissu na Meatu .Kama habari hizi ni za kweli hakika tunaelekea kubaya nimeona wakuu niwape taarifa hizi kama nilivyo zipata muda huu .Hii imekaaje kama demokrasia ndiyo ilivyo kwenye hii Nchi ?Wewe una habari za kama zangu ?[/QUO

HIVI NI KWELI TUMEFIKIA HAPA.......USHAURI WANGU CHADEMA ANDAENI MPANGO WA KUMUONDOA.
 
Katika mambo yanayoweza kuleta mtikisiko na machafuko ya kisiasa nchini mwetu ni pamoja na Chama tawala kutokubaliana na ukweli kutoka kwa wapinzani kwani hayo ni baadhi yanayo sababisha machafuko kwenye nchi nyingi duniani sasa.
 
Kama wanataka mwenyekiti wao wa chama aondoke kwa bakora pale magogoni,basi waongozwe tu na hizo hisia zao mfu kua Watanzania ni mazoba na tunawapeleka tutakavyo!maisha yenyewe wameshayafanya kua magumu kama jehanam,alafu wanataka kutuletea u*****
 
Wakuu kwa taarifa zilizo nifikia hapa muda ni kwamba baada ya hawa wajamaa kufa na Lema sasa amri iko wima kwamba Mnyika lazima aondoke afuatiwe na Lissu na Meatu .Kama habari hizi ni za kweli hakika tunaelekea kubaya nimeona wakuu niwape taarifa hizi kama nilivyo zipata muda huu .Hii imekaaje kama demokrasia ndiyo ilivyo kwenye hii Nchi ?Wewe una habari za kama zangu ?

Magamba na wale wote ambao hawawatakii mema watanganyika wanapaswa kuelewa kuwa "kwenye uwanja wa mapambano wenye haki huibuka mashujaa". kwakuwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA kwa ujumla wanapigania haki ya watanganyika na watanzania kwa ujumla wao, mungu yuko upande wa CHADEMA na daima ushindi utakuwa kwa CHADEMA
 
Ni Kweli hata mimi niliambiwa na rafiki yangu wa utoto ni mkubwa huko serikalini alisema Lema,Mnyika Lissu wote watapigwa chini na Chadema by 2014 lazima iwe imemeguka,kwa hiyo tujijuwe wana mabadiliko tunapambana kumnq'oa Goliath lazima tukaze uzi bila kuwapa pumzi wana ila na inda ni mashetani CCM na serikali yake ukiambiwa kila kiongozi kwa ngazi yeyote anakama fukwe,vitalu vya madini,uwindaji,misitu,biashara,na kazi serikalini
 
Wakuu kwa taarifa zilizo nifikia hapa muda ni kwamba baada ya hawa wajamaa kufa na Lema sasa amri iko wima kwamba Mnyika lazima aondoke afuatiwe na Lissu na Meatu .Kama habari hizi ni za kweli hakika tunaelekea kubaya nimeona wakuu niwape taarifa hizi kama nilivyo zipata muda huu .Hii imekaaje kama demokrasia ndiyo ilivyo kwenye hii Nchi ?Wewe una habari za kama zangu ?

Na baada ya hayo yote unayo yataka kutimilika ume sahau la mwisho ni KUMWAGIKA DAMU NCHI NZIMA

Kuna uvumi mkubwa unaotanda Mkoani Singida, kuwa Mbunge wa jimbo la singida Mashariki, Tundu Lissu huenda akavuliwa Ubunge kama alivyofanyiwa Lema. Japo bado kesi inaendelea, wananchi wameanza kukata tamaa kwa kuona vikao vingi vya Viongozi wote wa CCM, pamoja na waliosadikiwa ni Usalama wa Taifa toka Ikulu. vikao hivyo vilifanyika Jengo la CCM Mkoa jana. Mmojawapo ya vitu vinavyozidi kutoa shaka, ni kuwa Alhamisi walalamikaji ambao ni CCM walisema kuwa wangefunga ushahidi, baada ya shahidi wao wa mwisho kuja kuwaumbua mahakamani kwa kusema ukweli, pamoja na kuwa walimnunua kwa pesa inayosadikiwa kufika milioni 5, Jaji alikubaliana na maombi ya kuanza kuletwa mashahidi wengine wapya. HATUELEWI Jaji kwanini aliomba upande wa walalamikaji kuendelea kuleta mashahidi wakati walalamikaji walisema wanafunga ushahidi siku hiyo. Shahidi aliyemalizia anaitwa Hasani Musuna aliwaumbua vibaya sana CCM pamoja na kumhonga, mpaka ikabidi aombe ulinzi wa polisi, na siku hiyo alitolewa na gari ya RCO Kupelekwa kwao. kabla ya kuja Mahakamani, CCM walijihakikishia kuwa shahidi huyo angewaumbua sana CHADEMA kwa ushahidi wa kutunga, na CCM wakawasadikisha polisi kuwa Shahidi huyo alikuwa anaenda kutoa majibu yote na hivyo wafuasi wa CHADEMA wangeleta fujo mahakamani. Polisi walifika mahakamani siku hiyo wana mabomu ya machozi, Bunduki na Virungu na Risasi za moto. Ila baada ya huyo shahidi kumaliza, WOTE WALIONDOKA VICHWA CHINI. Kama kweli kuna njama kama hizo Basi Kikwete atakuwa ameamua kuipeleka nchi anakotaka yeye:Tusubiri hatima:
 
Inajulika kati ya watu wanaowaumiza kichwa kikwete na serikali yake ni Lissu. pamoja na mashaidi wa kuchakachulia mtaumbuka.
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Nitawapongeza kama wataendesha crusade kama hii maana itakuwa ni ya kujimaliza! Watanzania wa leo si wale wa YES SIR! Ni watu ambao elimu aliyoitilia mkazo Marehemu Baba wa Taifa imetusaidia kujitambua sisi kama Watanzania na mahitaji yetu. Tunajua tunahitaji viongozi wa aina gani.
 
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

Kwa kawaida haki hupatikana mahakamani,kwa hali ilivyosasa katka mambo ya siasa mahakama inachakachluliwa na matokeo yanapatika kabla ya mahakama kutoa hukumu,ukweli haya ni mambo ya ajabu kabisa ktk dunia hii ya leo yenye watu walioelimika enye uwezo wa kutafakari na kutambua ukweli wa mambo.

Watawala watambue kuwa nafasi walizonazo ni dhamana kutoka kwa wananchi wasilete mchezo mchafu kwenye mambo mhimu yenye manufaa kwa taifa pia watambue kuwa kila jambo linamwisho wake na mwisho huo kwa hali ya sasa ilivyo unaweza kuwa mugumu sana hasa kwa wanaolewa madaraka ya kupewa mezani
 
Kwa sababu mabadiliko haya hayakuanzia Bungeni, naamini kuwa hakuna kurudi nyuma pamoja na njama hizo. Upepo wa mabadiliko umeshaanza kuvuma hauishi mpaka mvua ya mabadiliko ya kweli. Mungu ibariki Tanzania.
 
MIMI SISHANGAI NA SWALA HILO, KWA SABABU CCM WANA KILA KITU, KUANZIA PESA ZA UFISADI, DOLA NK
WANAWEZA KABISA WANA HASARA GANI?
LAKINI WAKUMBUKE, WAANGALIE MABADIRIKO YA NYAKATI. WATAKUJA KUKIMBIA NCHI WAKIYAACHA MAHEKARU YO NYUMA. HATA MUNGU HAPENDI HAYO 😛eep:
 
Mwenendo wa kesi ya Lissu ni vigumu sana kuenguliwa ubunge. CCM watasoma halama za nyakati. Kuna faida kubwa kwao kumuacha aendelee kuwa mbunge kuliko kupandikiza chuki ya dhuluma kwa wananchi. Umeona yaliyotokea kwa Lema, wameanza kulaumiana.
 
Yote haya niliyategemea kutokea kwa sasa na wahenga walisema "Kifo cha nyani kikifika miti yote hutereza". CCm kwa sasa ni maiti inayotembea wakati wowote inaweza kuanguka yenyewe.
 
Mungu akitaka uangamie hawezi kukupa mwanga mpaka utumbukie, Ccm inajidanganya na dola,mahakama, tume ya uchaguzi ambazo azitakaa zishinde nguvu ya umma
 
Mimi naomba wafanye kama walivyopanga, Lissu apigwe chini ili vuguvugu lianze upya najua tutaretain jimbo na itakuwa na impact kubwa singida yote na 2015 tunachukua majimbo yote ya singida kiulaini. Magamba huwa hawafikiri hata mita kumi mbele yao.
 
polis,majaji,u,w,t.jesh nk,nk.nimali yao kwa sasa tena wachache wa ngazi za juu,.lakin kwa kadri taabu inavyoendelea,hakika wataigeuzia mitutu kule walikotokea,hapo hakutakua na myunani wala myahudi.ole wao walevi wa madaraka,sipati picha,//😛eace:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom