Lissu maisha yake yapo hatarini

Lissu anaonewa na serikali, lakini pia naye ajitafakari maana kuna watu ndani ya CDM anawaonea hadi wanafikia hatua ya kutaka kujitoa na wengine wameshajitao tayari
Amewaonea lini, vipi na wapi ? Kwanni awaonee? Kawaonea wakiwa wapi?
 
Waambie Wanyaturu wachukue nafasi zao. Yaani Mnyaturu mmoja aende Kilimanjaro kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa na ahakikishe anapata wanachama wa kutosha!
Mjinga ni yule anayejadili UKABILA KARNR YA 21!? WEWE NI MJINGA.
MLISHAWAHI KUITA CHAGA DEMA ? Mnaita chama cha wanyaturu leo?
Una akili kama mtoto wa SHULE WEWE
BEI YA KITANDA MUHIMBILI NI 50 KWA SIKU
 
Mjinga ni yule anayejadili UKABILA KARNR YA 21!? WEWE NI MJINGA.
MLISHAWAHI KUITA CHAGA DEMA ? Mnaita chama cha wanyaturu leo?
Una akili kama mtoto wa SHULE WEWE
BEI YA KITANDA MUHIMBILI NI 50 KWA SIKU
Nimemjibu Johnthebaptist aliyesema wanaojitoa Chadema ni Wachagga. Mimi ni Mhaya. Kama ungelikuwa fair na unalaani ukabila, ungelimgombeza Johnthebaptist na sio mimi. I just made a rhetorical comment (sijui kama unaelewa maana yake).

Ila kwakuwa wewe ni nyumbu unayeamini ni wasioipenda Chadema tu ndio wabaya, OK. Nimesema sasa. Utanifanya nini?
 

Lissu analindwa na nguvu za Mungu. Amelibeba kusudi la Mungu juu ya Tanzania. Wanaoondoka CHADEMA ni haki yao, wasikubabaishe. Walioingia na wanaoingia chamani ni wengi na ni potential kuliko wanaoondoka.

lets go and let God!
 
Amewaonea lini, vipi na wapi ? Kwanni awaonee? Kawaonea wakiwa wapi?
Kila inapopita kampeni ya No reforms No election, kiongozi mwenyeji kama alimuunga mkono Mbowe hapewi mic kusalimia wananchi. Huu ni ubaguzi ambao hata haukuwa na ulazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…