Lissu maisha yake yapo hatarini

Biashara imekua ngumu sana kwa wajasiriamali wa kisiasa soon wanatupwa mana sisiemu itaona hawana msaada tena ndio watajua hawajui hii CDM ya sasa sio chama cha one man show kimeshashuka kwa wananchi falsafa yake imeshawakaa wananchi nakuamini ndio mkombozi wa kweli hivyo sio kifo wala mateso ndio watu wanazidi kukomazwa
 
Chadema kilikuwa chama Cha upande moja na Cha watu binafsi, lissu amefanikiwa kukiomboa na kuwa chama Cha kitaifa rasmi.Kinachoendelea kaskazini kilitarajiwa....lissuuu atakuwa juu wakati wote...
 
Hayo maneno YESU alisema wapi?
 
Lissu alishagoma kufa Mkuu. Sisi ndio tusubiri RIP zetu,mwenzetu ana Neema ya kipekee Sana!
 
Ni mimitu sijakuelewa ama matokeo ya kuwaumepanda juu ya meza?
 
Wanaoondoka ni wachagga tu, why?
Mbona mna propaganda dumafu sana Bwashee?

Salim Mwalimu ni Mchaga, Kigaila ni Mchaga, Ruge ni Mchaga? Na kina wengine Mwanza na Singida kule, hao ni Wachaga?
 
Hizo nukuu zinapatikana wapi kwenye biblia nasi tujisomee mkuu
 
Mbona mna propaganda dumafu sana Bwashee?

Salim Mwalimu ni Mchaga, Kigaila ni Mchaga, Ruge ni Mchaga? Na kina wengine Mwanza na Singida kule, hao ni Wachaga?
Ukioa uchagani wewe ni mchagga 😂
 
Ni Mungu tu ndiye anayemlinda Lissu ndiomaana tunamuona mpaka Leo, kama siyo Mungu Lissu tungekuwa tumemsahau tangu kipindi cha Magufuli, kama risasi 16 za Magufuli zilishindwa kumumaliza Lissu, hawa wengine ni kama chawa weusi wa kichwani ambao pamoja na kung'ata kote hawasababishi kifo kwa binadamu.
 
Lissu anaonewa na serikali, lakini pia naye ajitafakari maana kuna watu ndani ya CDM anawaonea hadi wanafikia hatua ya kutaka kujitoa na wengine wameshajitao tayari
🙄😳Amewaonea kina nani ndani ya chama , na kivipi?
 
Lisu ana ulinzi wa Mungu na inawezekana alipona katika shambulio la risasi kwakua Mungu ana mpango naye.

Ni nguvu ya ki Mungu pekee kwa binadamu kupona katika shambulio baya kama lile.

Tanzania Mungu anatupenda na upo uwezekano Lisu ndie aliye chaguliwa katika kuitengeneza Nchi kupitia yeye.

Anaweza asishinde au akashinda uchaguzi lakini kikubwa Kuna vitu vitabadilika kupitia yeye.

Haijalishi ata pitia magumu kiasigani kama Mungu ndie anaye muongoza ili kuinyoosha Tanzania basi atafanikiwa kwakua ni msukumo wa ki Mungu na unaweza Kuta ata yeye Lisu hafaamu uo msukumo unatokea wapi lakini anajikuta anataka kufanya kitu.

Sipendi kauli za Lisu katika kuwasilisha hoja zake akitumia maneno ya dharau na ku Uzi ila ndivyo alivyo.
Ata sauli alichaguliwa na kristo japo alikua aki ua wafuasi wa Yesu.
Si maanishi uhalifu wa Sauli/Paulo wa katika biblia una fanana na lisu ila na maanisha kama Mungu ame mchagua Lisu kui nyoosha Nchi hakuna namna ya ku mzuia yupo Chini ya uangalizi maalumu wa Mungu.
 
Hukumu yake ya kunyongwa itekelezwe hadharani
 
🙄😳Amewaonea kina nani ndani ya chama , na kivipi?
Hawa wanaoondoka ni watu wenye akili timamu, kucukulia poa kuondoka kwao ni sawa na kujisaidia njiani mwili wote upo hadharani kwa kuwa tu umeuficha uso
 
Hizi bi bange live. Mistari uliyo nukuu haipo kabisa, sijui huyo Yesu alikwambia wapi hayo maneno! Mwalimu sijui alikosea wapi masikini.
 
Mapunziko ya CDM mpaka 2030, itasaidia kujijenga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…