Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu.
Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa?
Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani.
Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on."
Chadema is in chaos.
Hao watu wanaweza vipi kuongoza nchi kama wao wenyewe hawana umoja?
Watu wanataka kujiondoa Chama, wambembeleze wasitoke.
Waambie umoja wetu ndio umetufikisha hapa. Vipi mnasema mnataka kujiondoa Chama?
But no, hawa wameahidiwa hela na nani sijui, kama mtu anataka kujiondoa Chama ndio vizuri,hela zote tutakula peke yetu.
Kumbembelezana, that is the key word. Umoja haupatikani kwa njja nyingine yoyote.
Unataka kujiondoa Chama kwa sababu gani. Let us discuss it.
Lakini kama unashinda Uchaguzi kwa kura chache halafu unavuruga umoja katika Chama haifai.
Kwa hiyo nasema jambo baya litamfika Lissu sasa hivi.
Now, don't tell me I want to cause the evil.
I am just predicting.
Dalili za mvua ni mawingu.
Yesu alisema "Tazama mawingu mazito,ujue mvua itanyesha,na usianze kuleta unafiki"
And thus the Blessed Buddha spoke and everyone applauded.