Lissu kwa mara nyingine amewathibitishia Watanzania kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi

Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Lissu ndiyo anayetufaa kwa sasa. Yule mbaguzi akawe rais wa chato-gbadolite
 
Mrabaha wa 3% baada ya Kodi na Bado tuseme ni Jambo jema?
Ngoja nikumegee kidogo ndugu yangu. Kila uwekezaji wa madini ulipo, serikali inapata 16%, kodi ya ukaguzi 1% na mrahaba 6% kutoka 5% iliyokuwepo awali. Kabla ya marekebisho ya sheria asilimia 16 hiyo haikuwepo wala kodi ya ukaguzi haikuwepo.

Matokeo ya sheria hii mpya tumeiona. Kabla ya mabadiliko, maduhuli ya serikali yatokanayo na madini yalikuwa ni bilioni 196 tu kwa mwaka 2014/2015 lakini baada ya sheria mpya kuanza , maduhuli ya serikali yamekuwa yakipanda mwaka hadi mwaka. Kwa mfano mwaka 2018/19 mapato yaliongezeka na kuwa bilioni 346 na mwaka 2019/20 mapato/maduhuli yaliongezeka na kufiki bilioni 475. Kwa ujumla hivi sasa Serikali inakusanya maduhuli kwa wastani wa bilioni 40-45 kila mwezi kwenye sekta ya madini

Hatua hii imefanya Sekta ya Madini kuongoza katika uchangiaji wa pato la taifa na kufikia asilimia 17.7 mwaka 2019/20 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 tu kwa mwaka 2018. Kwa sasa ndiyo sekta inayoongoza katika uchangiaji wa pato la taifa. Imeipiku hasa sekta ya utalii. Ndiyo maana watanzania wengi wanajaa kwenye mikutano ya Rais Magufuli na tutampa kura za mafuriko Oktoba 28. Tafadhali Bujibuji toroka huko uje ujiunge na kundi hili la ushindi wa watanzania kwa ajili ya maendeleo yetu na watoto wetu
 
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Sawa mkuu ...Ila hapo kenye Jumuiya ya Kimataifa toa weka ...Mabeberu!
 
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Hivi huwa mnakaa chini na kutafakari kwa kina kweli?
Kwanini mnaishi kama mmeishakufa?

Jiwe mbona halina sifa kabisa?
 
Anawakilisha ile rangi nyekundu.. ya kwenye bendera yao..

Wengine tunacheka tu.. ni kama ako kwa dunia yake..

Chadema ilikwisha jizika zamaniii..

Washangiliaji ni mafisadi.. vyeti feki.. matapeli.. waroho.. wapenda pesa za kuiba.. wavivu.. wale hata kazini hawawezi dokoa tena..

2020 kumekucha 💚💛💚💛💚
Amerudi kutekeleza hilo la Rangi nyekundu aseme zake au au kiongozi hayo ndio anayataka
 
Mgombea wenu ambaye kipindi ni waziri hakuonesha msimamo wakumpinga Rais kikwete kuhusu samaki walee??

Msimamo wa Mgombea wenu kujenga uwanja wa mabilion pale kijijini kusipokuwa hata na biashara yoyote yenye kufanta watu wapande ndege kwenda pale, n miaka Sasa inakatika hajawahi ona ndege tofauti na yake au Marais wa Nchi jirani wanapokuja kumsalimia
 
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Kama angewasikiliza polisi na kuondoka MH. TAL angeonekana mwoga na kwa vyovyote vile hao vibaraka wangemsumbua tena kesho au kesho kutwa. Ila kwa ujasiri alouonesha Nina uhakika hata viongozi wakuu walitetemeka na kuwaamuru polisi kuondoka. Mwaka huu sisi tutakwenda na JASIRI WETU. Subirini tarehe 28 tutafanya jambo letu, mabwana wale watafute kazi nyingine ya kafanya.
 
WANAOFAA NI WALE WALIOSEMA MSIOGOPE POLISI IPO KWA AJILI YENU NYIE CHAMA DOLA,AU ALIYESEMA MKURUGENZI NIKULIPE MSHAHARA UTANGAZE MPINZANI KASHINDA?AU ALIYESEMA ANASHANGAA VYAMA TAWALA VILIVYOTOKA MADARAKANI KWA KUSHINDWA KUTUMIA DOLA KUBAKIA...LISSU JANA ANGEKUBALI ULE UJINGA BASI KUANZIA LEO JAMAA WANGEANZA KUSHINDA GETINI KWAKE KUMUWEKA HOUSE ARREST NA MATAGA YANGESHANGILIA HUKU KWAMBA KANYWEA,ACTUALLLY NILITAMANI POLISI WALALE ILI ASUBUHI PAWE KIVUTIO NA MABOMU YAPIGWE HABARI ISAMBAE VIZURI MAPUMBAVU YA ZIWANI YAENDELEE KUJIPAKA MAVI USONI MWA DUNIA
 
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Ni kweli mmenyimwa uhuru wa kusema, hadi uhuru wa kufikiri nao mmebanwa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Binti kuwa mtulivu inakuwaje upo Usukumani uko halafu unaleta umbea wa pwani shenzi wewe kaaa n ushambaa wako wa kisukuma uko
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hakuna haki aliyoipata ndugu yangu.. Wanasheria wanasema the delayed right is the denied right. Kuachiwa usiku mkubwa huu amepata haki gani na kesho anzauiliwa hadi adhabu yake iishe
Mmebana mumeachia kwa muda mrefu mmetufanya wasukule Sasa mkomboz amekuja mtatia akili
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na ulazima wakati wowote...
Wewe ndiyo huna akili hata kiduchu. Wewe ulitaka akubaliane na uhuni wa polisi? Nani alikuambia Lissu alikuwa under house arrest haruhusiwi kutoka nyumbani kwake?Kwa taarifa yako kitendo cha Polisi jana kimeiharibia sana CCM.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ngoja nikumegee kidogo ndugu yangu. Kila uwekezaji wa madini ulipo, serikali inapata 16%, kodi ya ukaguzi 1% na mrahaba 6% kutoka 5% iliyokuwepo awali. Kabla ya marekebisho ya sheria asilimia 16 hiyo haikuwepo wala kodi ya ukaguzi haikuwepo...
Wacha porojoo Watanzania tushaamuwa fanyeni uchaguz huru na waki muone KIMBUNGAA
 
Monkey brain hamuwezi elewa alichokifanya, nyie mnataka muone jiwe tu lipo kanisani linakusanya sadaka ndiyo mnasikia balls zenu zinatetemeka.
 
Hakuna haki aliyoipata ndugu yangu.. Wanasheria wanasema the delayed right is the denied right. Kuachiwa usiku mkubwa huu amepata haki gani na kesho anzauiliwa hadi adhabu yake iishe
Polisi si walijigamba watakesha naye hata kwa wiki mbili lakini hata masaa 12 hawakufikisha wakaachia njia. CCM siasa imewashinda sasa mnatumia mitutu ya bunduki huo ndiyo ujumbe wa polisi jana kwa dunia nzima,kwa vile una akili za kushikiwa kamwe huwezi kulielewa hili unachoweza ni kukata mauno kwenye fiesta zenu mnazoita kampeni.
 
Somo moja Lisu atakuwa kaanza kujifunza ni kuwa wananchi kwenye vitu vya vurugu hawako naye

Watu walikuwa wakiendelea tu a shughuki zao kama kawaida wakati yeye anaizea kwenye jua na aking'atwa na mbu .They ignored him

.
 
Back
Top Bottom