Lissu Kuhamia ACT Wazalendo? Muda utaamua

Lissu Kuhamia ACT Wazalendo? Muda utaamua

Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano wa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.

Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa povu, lakini muda utaamua. Muda haujawahi kuongopa kwenye chochote.

Yapo ambayo ningeweza kuyaweka wazi Ila sababu ya kuheshimu muda basi wacha ibaki hivyo. Ila ndio ninawasanua kuwa baada ya muda mtapigwa mshangao.
Wabongo ukiwasikiliza sana, unaweza hisi nchi nzima ni waganga wa kienyeji, tunapenda sana ramli chonganishi.

Nilivyofungua huu Uzi, nilitegemea kukuta ufafanuzi na viashiria vilivyochochea wewe kusema hivyo. Ila Cha ajabu hakuna chochote, sana sana umeuachia muda uamue 😅😅
 
Lissu hawezi thubutu fanya ujinga kama huo.... yeye ni mtu mwenye akili anajua anaweza jimaliza kisiasa completely and never returns.

Mara mia aende CCM kwenye vyeo vya bure

Tusiombe speculation zako za kiganga zitokee.
Huyu mleta mada, anapima upepo. Focus yetu katiba mpya sio kujadili watu wanakokwenda. CDM ni shwari ajenda ni katiba mya. Yaani ni kwa kwenda mbele, utaweka herufi 'p' hapo niliposahau hakuna kurudi nyuma.
Pale timu inapojikusanya, adui hatopenda hivyo propaganda kama hizi lazima ziwepo. Rema karibu home.
 
ACT siyo wapinzani kwa sasa. Zitto ni mdini sana. Watakuwa wapinzani endapo rais atakuwa mkristo
 
Lissu hawezi thubutu fanya ujinga kama huo.... yeye ni mtu mwenye akili anajua anaweza jimaliza kisiasa completely and never returns.

Mara mia aende CCM kwenye vyeo vya bure

Tusiombe speculation zako za kiganga zitokee.
Bado kidogo...
 
Back
Top Bottom