Lissu Kuhamia ACT Wazalendo? Muda utaamua

Lissu hawez thubutu fanya ujinga kama huo.... yeye ni mtu mwenye akili anajua anaweza jimaliza kisiasa completely and never returns.

Mara mia aende CCM kwenye vyeo vyeo vya bure

Tusiombe speculation zako za kiganga zitokee.
Muda utasema, subiri
 
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano sa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.

Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa povu, lakini muda utaamua. Muda haujawahi kuongopa kwenye chochote.

Yapo ambayo ningeweza kuyaweka wazi Ila sababu ya kuheshimu muda basi wacha ibaki hivyo. Ila ndio ninawasanua kuwa baada ya muda mtapigwa mshangao.
Inakusaidia nini kusema hili?

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Picha za kuedit hizi
Fpp6xPDWIAAtRzw.jpeg

Niongeze? Au unaogopa kiharusi
 
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano sa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.

Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa povu, lakini muda utaamua. Muda haujawahi kuongopa kwenye chochote.

Yapo ambayo ningeweza kuyaweka wazi Ila sababu ya kuheshimu muda basi wacha ibaki hivyo. Ila ndio ninawasanua kuwa baada ya muda mtapigwa mshangao.
Lissu ndie aliyetangaza rasmi kuwa ZZK amejifukuzisha uanachama wa CDM. Sio rahisi kuwa pamoja kisiasa. Pia kumbuka kuwa usaliti wa ZZK kwa CDM huyu Lissu anaufahamu fika. Hapa kila mmoja anaona keshafanyiwa mambo na mwenzake. Halafu wakae pamoja? Ujue ni interest ya ZZK kuona Mama Samia anaendelea kuwa rais beyond 2025. ZZK hatapenda aingie rais mingine hata angetoka ACT.
 
Unajua zitto alienda Belgium kuongea na lissu? Unajua vikao alivyofanya nae ajenda ilikua nini?
 
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano sa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.

Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa povu, lakini muda utaamua. Muda haujawahi kuongopa kwenye chochote.

Yapo ambayo ningeweza kuyaweka wazi Ila sababu ya kuheshimu muda basi wacha ibaki hivyo. Ila ndio ninawasanua kuwa baada ya muda mtapigwa mshangao.
Sasa mbona hata ACT Haina msimamo mkali?

Hili ni ngumu,option aliyonayo Lisu ni kuacha Siasa na kuendelea na maisha yake au kubaki chadema.
 
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano sa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.

Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa povu, lakini muda utaamua. Muda haujawahi kuongopa kwenye chochote.

Yapo ambayo ningeweza kuyaweka wazi Ila sababu ya kuheshimu muda basi wacha ibaki hivyo. Ila ndio ninawasanua kuwa baada ya muda mtapigwa mshangao.
Kolimba alitaka kuhamia NCCR Mageuzi mkaona isiwe shida mkamkolimba
 
Lissu kaondoka, Slaa karudi ana hutubia kimya kimya, huyu nae analeta tetesi za Lissu kwenda ACT...

Tuna siasa za ajabu sana, hakuna mwenye kuijua kesho ya mwanasiasa wa Tanzania.
Nmefurahi kuona Slaa amerudi, tunahitaji busara zake licha ya yote yaliyotokea.
 
Back
Top Bottom