MANGANAATAU MATHITHINYANA
Senior Member
- Mar 17, 2022
- 101
- 97
Sasa TL akihamia ACT kuna shida gani? Si bado yuko chama cha upinzani ? Mbona wenzake wamehamia chama tawala hapakuwa na shida yoyote. Kwenye Siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano wa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.
Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa povu, lakini muda utaamua. Muda haujawahi kuongopa kwenye chochote.
Yapo ambayo ningeweza kuyaweka wazi Ila sababu ya kuheshimu muda basi wacha ibaki hivyo. Ila ndio ninawasanua kuwa baada ya muda mtapigwa mshangao.