Kiasili mwanadamu halisi, asiye wakala wa shetani, hupenda haki, hivyo huchukia dhuluma na wadhulumaji. Watawala wauaji wamekuwa chukizo kwa wanadamu wote halisia. Watawala wauaji wanashabikiwa na wale mawakala wa shetani waliobeba maumbile ya wanadamu. Wanadamu halisia wote, ni wakweli wanafsi, wanachukia dhuluma, ndiyo maana wote wapo na aliyejitoa sadaka kwaajili ya watanzania wanaodhulumiwa na watawala mashetani. Tunamshukuru Mungu, katikati ya watawala waovu, aliruhusu mtumishi wake Tundu Lisu kuzaliwa na kuwa alama ya haki na upendo wa kweli kwa watanzania wote.