ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,652
- 88,827
Akija anapewa na Cheo ambacho sio Cha Kisiasa kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali 🤣🤣🤣🤣Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |
Mfumo umefaulu kuwavuruga Chadema, hawana ujanja. Wakae chini wafanye reform kubwa pengine baada ya uchaguzi. Kwa sasa waelekeze nguvu kwenye uchaguzi,wasitolewe kwenye focus. Kama wana taka kuendelea kuwepo. Udhaifu wao umekwisha fahamika,Pesa!
Lissu akiishaingia CCM anapewa u-DC wa Mafia huko anatulia zake!Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |
Hakika!🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆CCM kuna mapumziko?View attachment 3064751
Wakamateni kwanza waliompiga risasi|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |
Sikubaliani na Mbowe kabisa kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini hakuna namna nitaendelea kumuunga mkono Lisu akihamia ccm. Hata hivyo huyo Lisu huko ccm iwapo ni kweli atahamia, sio kufuata siasa, bali atakuwa kafuata mlo.Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |
Acha upoyoyo. Elewa maneno ya Lissu Yana msingi mmoja.Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |
Umemuuliza swali zuri sana.Waliompiga risasi Lissu ni akina nani?
Waliotoa camera kwenye makazi ya viongozi ni akina nani?
Ina maana wewe mtoa mada una akili nyingi kuliko wana CCM wenzako wote?
Acha hizo hata kama una njaa sio kwa kuandika mashudu kiasi hiki.
Sasa si bora Lissu mwenyewe apewe kuliko Mbowe apewe kwa kisingizio cha LissuMpeni hela ale maisha. Kazi ya kutetea watz haina tija. Iwe kuanzia bilioni 1
Kwenye Siasa hakuna Úadui wa kudumu Wala Urafiki wa KudumuUmemuuliza swali zuri sana.
Hivi mtu aliyeponea chupuchupu kuuawa na hao watesi wake, ndiyo aweze kushawishika ajiunge nao??😚
DuuuhMbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |
NdioAkija anapewa na Cheo ambacho sio Cha Kisiasa kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali 🤣🤣🤣🤣
Kwa bandiko lako hili unamaanisha viongozi wako wa CCM na Serikali ni wapumbavu kiasi Mbowe anawatekenya kisha wanamwagia mamilioni? Basi CCM ina viongozi wa hovyo kwa kuingizwa mkenge na Mbowekisha wanampa mamilioni ya kodi zetu.Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM