Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Anamtumia kupiga pesa huyu bwana mwenyekitiSiku Lissu akiondoka CHADEMA Biashara ya Mbowe kwishaaa kwishaaa kabisa in Lipumba's voice
Tunamkaribisha sanaKwahy ccm watakuwa wamefanya usajili mzuri au siyo 😂
CCM ni Chama kikubwa na kinapokea Kila mtu bila kujali huko nyuma amekiukiza maeneo ganiWaliompiga risasi Lissu ni akina nani?
Waliotoa camera kwenye makazi ya viongozi ni akina nani?
Ina maana wewe mtoa mada una akili nyingi kuliko wana CCM wenzako wote?
Acha hizo hata kama una njaa sio kwa kuandika mashudu kiasi hiki.
Umekwepa kujibu maswali yangu unaleta porojo za kindezi.CCM ni Chama kikubwa na kinapokea Kila mtu bila kujali huko nyuma amekiukiza maeneo gani
Nadhani hauijui vizuri CCMUmekwepa kujibu maswali yangu unaleta porojo za kindezi.
Nadhani hauijui vizuri CCMWaliompiga risasi Lissu ni akina nani?
Waliotoa camera kwenye makazi ya viongozi ni akina nani?
Ina maana wewe mtoa mada una akili nyingi kuliko wana CCM wenzako wote?
Acha hizo hata kama una njaa sio kwa kuandika mashudu kiasi hiki.
Mm sio chawa chama chenu nawaachia ninyi wenyewe mkijue zaidi.Nadhani hauijui vizuri CCM
MAVI MATUPU UMEANDIKAMbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako |
Ndio nini umeandika?MAVI MATUPU UMEANDIKA
exactlyMpeni hela ale maisha. Kazi ya kutetea watz haina tija. Iwe kuanzia bilioni 1
Watu walimpinga sana Mzee Kenyata alipomwambia Nyerere anaongoza wafu, ila kiukweli wewe ni mfano wa hawa wafu. Badala ya kufurahia nchi iwe na upinzani mzuri ili Serikali ibanwe hivyo iwajibike kuwaletea wananchi maendeleo, watu wa aina yako mnataka upinzani ufe. Hii nchi ina wajinga wengi sana.Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |