Lissu: January Makamba hafai kuendelea kuwa Waziri hata kwa dakika moja mbele

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,206
Tundu Lissu amesema kitendo cha waziri January Makamba kusingizia kwamba ametumwa na Rais Samia kushusha bei ya mafuta iliyopitishwa na Bunge ni kinyume cha sheria na ni uhaini kwa Rais wa nchi na hivyo Makamba hafai kuendelea kuwa Waziri hata kwa dakika moja mbele.

Lissu amesema anashangaa mpaka sasa kumuona Makamba akiendelea kuwa Waziri na kujiamini huko kwa Makamba maana yake atakuwa alitumwa kweli na Rais Samia.

Connecting dots kuanzia 2005-2015 plus Rostam, halafu angalia Rostam alivyopiga hela sasa hivi hata Nape kaitungua na kuishambulia TTCL yetu leo hii tunaambiwa Rostam kanunua Tigo hivyo kwa kifupi tigo ndiyo mtandao wa Serikali badala ya TTCL yetu.

Msisahahu Makamba alichukuwa kutoka serikalini 30 Million USD akasema ni ya software ya Tanesco.

Makamba atakuja kufungwa tu siku moja, sio kwa utawala huu lkn linakuja hilo halina ubishi!
 
Wamezoea wanakaa sitting room na Samia wanapanga vya kufanya bila kujali kama wanafuata sheria, na kwasababu wamezoea kumdekeza huyo mtoto wao nae amezoea kudeka anakuja kuropoka barabarani akisahau maazimio yao ya sirini huvunja sheria za nchi.
 
Connecting dots kuanzia 2005-2015 plus Rostam, halafu angalia Rostam alivyopiga hela sasa hivi hata Nape kaitungua na kuishambulia TTCL yetu leo hii tunaambiwa Rostam kanunua Tigo hivyo kwa kifupi tigo ndiyo mtandao wa Serikali badala ya TTCL yetu.

Msisahahu Makamba alichukuwa kutoka serikalini 30 Million USD akasema ni ya software ya Tanesco.

Makamba atakuja kufungwa tu siku moja, sio kwa utawala huu lkn linakuja hilo halina ubishi!
Sukuma gang mnatapatapa,
January Makamba yupo Sana W/nishati
 
Back
Top Bottom