Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

haa haa hii inaitwa mahaba niue mkuu. mambo ya sheria waachie wenyewe.
 
Sasa mbona alidanganya na kutuhaminisha matrilioni bila kuchambua jinsi kina Ossoro walivyodanganya. Yaani wewe utoto unakisumbua kuangukia tambo za Kabudi. Kabudi kila anapopata nafasi anatamba na kudhani kina Msukuma na Lakairo watamuelewa. Wanaomuelewa wengi wako mle kupiga makofi
 
Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Yaan jina linaanza na Prof utalinganisha na huyo anayeanza na blank??? Yaan wachagadema wapuuzi
 
Tukubali hapa ni jukwaaa la siasa. Kwa ukongwe wako utagundua kwamba baadhi ya wana JF ukiwauliza wanaamini Lissu ni mtume wa ufahamu. Tufikie hatua tuwaokoe wanaolilia kila leo juu ya ufahamu wa Lissu. Vijana wetu wengi ufahamu ni mdogo na ndo maana unasikia ushabiki ukihama kumfuata mpiga kelele, siyo mwenye ufahamu. Wanamuelewa haraka Lissu na Mange kuliko Marando au Kijo au mwanaharakati yeyote anayetetea mambo ya maisha yao. Hili ni tatizo ktk media zote, hadi huko redioni na TV.

Ukiwasikiliza wahabarishaji ktk vyombo vyao ni aibu tu! Mtu anajadili kwa sura ya kutojua kabisa dunia inavyokwenda na akitoka hapo anaishia kuangalia mechi za ulaya hadi kesho. Je, umejiuliza kwa nini wanamshabikia Lissu kwenye mambo ya uchummi wakati hajui lolote.
 
Sijawahi kumpenda Lissu katika kujenga hoja na kuelewa mambo, naona kinachotokea kuhusu mtu kama Lissu ni ile kanuni ya kukiwa hakuna kitu (vacuum) binadamu tutaunda cha kuziba pengo hata kama hakina sifa stahiki. Prof Kabudi anaonekana mwelewa wa mambo na mzuri kwenye presentation. Ingawa simjui kwa ukaribu lakini sitashangaa kujua kuwa he is weak in character. Na hiyo inaonekana sasa katika kulinda tumbo lake hata ikibidi kupotosha au kupindisha kanuni. The guy is a blatant opportunist hiyo inamshusha chini kabisa.
 
Kabisa umeeleza vema
 
Hahaaa, Imekutachi kwa kuwa imemdemote lissu unayedhani kuwa yuko juu ya everybody!
Ni mada zipi unadhani zinastahili kuanzishwa hapa jukwaani? Zinazoendana na matashi ya maoni yako? Mi nilidhani jukwaa hili linatupa uhuru wa kujitusha kila mtu kwa kadri ya uwezo na upendo wake, ilimradi havunji sheria na taratibu?
Tulindeni demokrasia yetu.
 
Kaka una hekima sana. Sijui kama atakuelewa. Hoja nyingine sijui hata lengo lake
 
Atleast tunaongea lugha moja mzee yule anakwambia ni 4.8 GPA
 
Chuki zako haziondoi ukweli kwamba Lisu ni bogus.
 
Mwambie atengeneze namna nzuri ya kuwasilisha maoni yake si kwa kuifokea na kui-command serikali...

Ataendelea kuwa ignored ingawa tunatambua anayo mazuri ya kusaidia nchi.

Mnam-ignore halafu nchi inashtakiwa?
 
Umeongea taratibu na vema sana mkuu Petro E. Mselewa sidhani kama kuna mahali utakuta mjadala "serious" juu ya nani ni nani kati ya hawa. Sikumbuki hata wao kuleta hoja ili kumtweza mwingine, mara zote hushindana na kurekebishana kwa vifungu katika kada yao. Asante
 
Ingekuwa hivyo wala serikali ya ccm isinge mpiga risasi maana hakuna utawala uliojaza wasomi kwenye wizara kama huu wa awamu ya tano,wangemkabiri kwa hoja tu wakamtuliza
 
Ingekuwa hivyo wala serikali ya ccm isinge mpiga risasi maana hakuna utawala uliojaza wasomi kwenye wizara kama huu wa awamu ya tano,wangemkabiri kwa hoja tu wakamtuliza
 
Prof.Kabudi ni muongeaji mzuri, Lisu ni mchambuaji mzuri... wote sheria wanaijua...

Ila Chenge mbona hatiagi maneno...


Cc: mahondaw
 
britanicca,nimefanya kazi na Prof Kabudi kwa vipindi viwili tofauti na sehemu mbili tofauti.
Yeye ni sawa na Prof. P. Limumba, "tongue twister".
Mh. T. Lissu sijapata bajati ya kufanya naye kazi au kuwa karibu naye zaidi ya kumfahamu kupitia kaka yangu waliyesoma naye na harakati zake tangu enzi hizo za 1990's.
Naomba uniambie wewe na wengine wote hapa jukwaani,ni nani aliyekuwa anatetea rasilimali za Taifa kabla ya mwingine!?
Naomba niambie,ni nani kati ya Mh. T. Lissu na Kabudi ameweka rehani uhai wake na wa kizazi chake kwa kutetea ukweli katika tasnia yao ya sheria?
Naomba utoe ushahidi wa "kimatokeo" wa jambo ambalo kila mmoja alilisimamia kisheria hadharani na akafanikiwa ama bado anaendelea nalo na msimamo wake ule ule wa awali kuhusu kambo hilo.
Ukiweza kunijibu hayo,utaniaminisha kuwa wewe si tu ni "msemakweli", bali pia ni "iwee originali" .
Tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…