Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
PROF KABUDI NI KIBARAKA WA JIWE!!!!!
 
Hahahaaa nimeipenda hiyo ya kujipoteza hata yeye mwenyewe.

But yes, Kabudi is long-winded AF.

That’s why he makes so many factual errors.



..ni kama kilichotokea jana alipokuwa akijibu hoja za wabunge.

..he left his audience with an impression kwamba Raisi ana mamlaka juu ya Bunge ktk mazingira yote, na siyo ktk mazingira maalum.
 
Tatizo lenu mnaongea kitu bila Supporting documents

Ukitaka kucompare kitu au kutetea onyesha field work ya huyo alivyobobea katika kutetea au kwenye research zake ziweke hapa tuangalie argument zake katika maplatform mbalimbali zilivyokuwa halafu njoo upande wa pili onyesha weakness zake kwenye field kwa mifano halisi aliyowahi kuifanya

Baada ya hapo utakuwa umemaliza hoja yako

Kuandika kwa jinsi hii inaonyesha hata form four hukufika
 
Hivi ukiulizwa kuhusu Nyanya wewe ukatoa maelezo kuhusu sambusa, hicho kinakufanya uwe Bora kisa tu uwezo wako wa kuielezea sambusa Ni mzuri? Watanzania mna matatizo makubwa Sana!
 
Kabudi na Lisu OMG. Kwa mimi ambaye sio mwanasheria huwa napenda kuangalia nini hawa watu wawili wanasimamia na kama wanasheria wapi wangeweza kutusaidia. Nionalo Kabudi Kabudi huyu wa sasa (siyo yule wa Tume ya Warioba) ni mtetezi wa Jiwe na hutafuta chochote akionacho kinafaa kumtetea Jiwe. Hata Jiwe anapo potoka kisheria SIDHANI kama Prof. huyu (kama wengi walio serikalini) ana ubavu wa kushauri vinginevyo. TL umpende usimpende awe sawa au vinginevyo hufanya kile wanasheria wengi hawafanyi-HUSIMAMA NA KUONGEA kwa staili yake hukera wengi lakini ujumbe wake hufika na kuchoma wahusika. Baadhi ya waliochomwa ndio walifanya waliyo fanya, haikuwezekana na bahati mbaya zaidi jamaa ni mbishi hata akiwa huko nje anaendelea kuwachoma watu. Kwangu mwanasheria bora ni yule anaekwenda na sheria za nchi si yule anaepinda sheria za nchi kuhalalisha ya ajabu.
 
UKO SAHIHI!!!!!!
 
Kabudi alifeli, bar exams Mara Tatu. Alipewa uwakili kwa hisani, Kuwait prossional no tofauti nam
Kabudi alifeli bar exams Mara Tatu, alipewa uwakili kwa hisani, Kuwa professional ni zaidi ya kukariri vitabu
 

We mwenzetu umeandika kikuda sana. Toa hoja za kisayansi zenye kuweza kudhibitishwa pasi na shaka, siyo hiyo hoja dhaifu ya eti Lissu anaongea sana. Tambua kwamba kazi ya uwakili ni kuongea na siyo kubwabwaja tu kama ulivyosema huyo waziri anafanya bali kwa kurejea vifungu vya sheria ambacho umekubali kwenye bandiko lako kwamba Lissu anajua kuvitumia kwa umahiri mkubwa. Tofauti na huyu waziri ambaye anaweza kuwa na theoretical experience nzuri Lissu ana anavyo vyote: theoretical na professional experience. Una swali?
 
Kabudi labda ni mzuri akiwa chuo ila nje na hapo Lisu is the best...
 
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka

Naona umeanza na difence mekanizimu ili tukuonee Huruma.....Leta hoja ambazo lissu aliziongea kisheria na hakuwa sahihi kama yeye ambavyo amekuwa akikosoa hoja za kabudi kwa vifungu vya sheria..

Acha uzembe mkuu, Lumumba siku hizi buku saba zenu mmekaziwa nini..??
 
Labda wewe ndo hukumuelewa kipindi like
 
Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Wekicha kwel kwel naona unapitisha hewa tu baada ya kuvimbiwa uroda wa ficcm hongera mkuu
 
Unacheza na Lissu wewe eti,mtu kashindwa mahakamani kutiwa hatiani hadi kushambuliwa na bunduki ili kumzima bado unamchukulia poaa?

Lissu ni level nyingine.
Sheria haiendi kwa mieuko bali kwa ushaidi.Kuna tofauti kubwa ya ukweli na uthibitisho.Sheria inataka exibit na sivinginevyo.
Law is just tricks within human nature,nothing big and nothing less.
 
Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
mada tunaifunga
akili ya mleta mada haina tofauti na lusinde,do not waste your energy guys,mnadili na mtu mwepesi sana
 
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, k
Ziko wapi hizi tuziangalie----?
Kwa hoja kama hii, ungeweka hata mifano mifupi tu kama ushahidi, hoja yako ingenoga sana.
Na hasa unapoongelea "shallowness", halafu unasahau 'shallowness' ya hoja unayoiwasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…