wakati mwingine ficheni upumbavu wenu...mahojiano ya dereva wa Lissu si alisema alimlaza chini ya steering... waliomshambulia walitokea nyuma ya gari..unafikiri risasi zingempata kulia au kushoto???Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Wakolosai hawakuwa hivi !! Unatia aibu.Wasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Wewe utakuwa mbumbumbu wa sheria au ni mwanaharakati tuKabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .
Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .
Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Wewe nawe!! Wakati mwingine una bore!! Wewe ndiyo unaona mada haina maana lakini wengine tunaona ina maana!! Wewe kama unaona mada haifai ungepita kimyaa tu mkuu!!Mkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!
Tatizo ana vitu vingi kichwani...halafu platform ni finyu.Kabudi hua haelezi kile anachoulizwa bali hua anaeleza kile anachokijua yeye mwisho wa siku anakuja kuongea vitu mpaka unashangaa rejea mambo ya kuwaambia wabunge wakasome legal anthropology, mara sijui ooh we were in the times when president was president..nigga who asked about all that stick to the point...
Hahaa....namkumbuka yule jamaa nu bingwa ktk presentation. Nimedownload video zake nikijisikia natizama. Napenda jinsi anavyo submit his case ingawa alishindwa caseUlimuangalia wakili PL Lumumba anavyowasilisha hoja zake kwenye ile kesi ya uchaguzi wa Kenya? uwezi kuitofautisha na uwasilishaji wa Prof Kabudi. Je anayoyawasilisha yana ukweli? au analazimisha watu wayakubali ata kama ni uongo? Ulishakaa ukasikiliza T. Lissu mahakamani? ata Jaji Werema anamjua kwa umakini pale mnapotaka kushindana kwa hoja.
Uzuri historia ya Lissu iko wazi na inaonesha hata kabla ya kuingia mjengoni bado Lissu alikuwa ni moto.. tofauti hapo ni mmoja anamtetea mtu mmoja hali mwingie anatetea jamii dhidi ya mtu mmojaWasioelewa watakushukia kwa maneno ya kipumbavu lakini ukweli ndo huo. Lissu hana anachojua zaidi ya kubwabwaja. Ni kati ya wanasheria wa hivyo kuwahi kutokea. Hata bwana mdogo Albert Msando anamtoa kwente reli. Ajitathmini aone kuwa nje ya ulingo wa siasa anacho kitu anaweza kufanya ? He is a bare headed mind in the darkest of ghost.
Jamaa inaonekana amechanganyikiwa na ile misamiati aliyoiona YouTube ile ya kusema equched. "" lakini Lisu anatafisiri misamiati ya kisheria kukuleta katika kiswahili rahisi. Halafu umlinganishe nayeOnyoshea alichomzidi. Lissu ameleta zaidi ya mara tatu hapa jinsi Kabudi anavyochemka. Akiweka vifungu na tafsiri ya kisheria.
Wewe unapokuja kusma tu kwamba anamzidi bila kuonyesha hata kwa mfano mmoja kwamba anamzidi utakua unaleta blah blah tu kama Kibajaji, Chakubanga na wengune wa aina yako.
Una habari kuwa Acacia wanakwenda kushinda kesi ya Makenikia...????Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,
Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,
Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,
Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,
Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui
Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,
Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Wote tukiwa wanasheria ingekua haina maana.Wewe utakuwa mbumbumbu wa sheria au ni mwanaharakati tu
Iam starting to understand youYour Prof.is very deeeeeep, but in a Shallow water. Should not be compared to Lissu at all! At all, Lissu dives in deep Seas while your Prof dives in a swimming pool! Sasa wapi na wapi?
Nitakupa mfano mmoja: Niliwahi kuchukuliwa na shirika Fulani nikapelekwa Kilolo kwenda kutoa Elimu ya Haki za Kisheria katika Umiliki wa Ardhi. Siku ya kwanza Boss wangu ndie aliefanya presentation kwa Wananchi! Yeye sii mwanasheria Kama Mimi, katika presentation Yake Kuna Mambo mengi sana ama kwa kujua au kutokujua alikuwa akipotosha! But he wasn't stammering, alinyoosha presentation Yake Safi, alijibu maswali kwa kunyoosha maelezo, na kila mtu alikubaliana na kilichoelezwa! Kesho Yake ilikuwa zamu yangu, nami kwa kuwa tulikuwa Kijiji kngine, nikatumia knowledge niliyonayo ipasavyo, nikanyoosha maelezo ipasavyo, Hadi Wananchi wa Kilolo nakumbuka walinipa kuku nikaenda kuchinja. Ninachokieleza Ni kwamba, kila mmoja wetu presentation Yake kwenye same topic aliifanya kwa uwezo Mkubwa, tofauti Ni kuwa, mmoja alipotosha, mwingine alieleza Mambo yalivyo.
Mfano mwingine, nime base Sana kwenye Haki za watoto kwa Sasa, naendesha trainings za kutosha tu huku nilipo, nikianza kuhubiri akili na masikio ya wasikilizaji Huwa havitikisiki, very attentive, nimekuwa mbobevu katika Hilo, ila Kuna siku kwa kutokujua uwepo wa kanuni mpya nilijikuta nashushuliwa na Afisa Maendeleo ya Jamii kuhusiana na masuala Fulani yanayohusu watoto! Mmi nikiilaumu serikali kwa kutowezesha utekelezaji wa baadhi ya provisions kwenye Child Act kutokana na kutokuwapo kwa kanuni, mwenzangu akaniambia kanuni zipo na akazionesha! Palamagamba nae kutokana na uzoefu wa muda mrefu na kujiamini katika maeneo mbalimbali ya kisheria, na amekuwa Kama Mimi, anajiamini hata Kama asemacho Ni upotoshaji!
Lissu hawezi lingana na kina Mkono kwa sababu labda ya Areas of concentrations! Mkono ukimpa Criminal au Land cases utakuwa unamuonea, mpe kwenye Investment, Dispute Resolutions, Corporate, etc. Halafu Mkono yeye alichoweza Ni kuajiri ama ku partner na Mawakili wengine Wazuri, yeye uliwahi kumuona kwenye debates? Mahakamani?
Marando is one of the most senior advocates na Ni mzuri Sana kwenye litigation, hao ndio mentors wa kina Lissu, so kwa vyovyote vile, Huyo Kabudi wenu akili ya chuoni kaiacha hukohuko, kwenye Serikali ya Vichaa kaja na Macho Yale na Tumbo!
Heard you got shot and went to hell,Hahaaa, Imekutachi kwa kuwa imemdemote lissu unayedhani kuwa yuko juu ya everybody!
Ni mada zipi unadhani zinastahili kuanzishwa hapa jukwaani? Zinazoendana na matashi ya maoni yako? Mi nilidhani jukwaa hili linatupa uhuru wa kujitusha kila mtu kwa kadri ya uwezo na upendo wake, ilimradi havunji sheria na taratibu?
Tulindeni demokrasia yetu.