Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Sisi wengine ni wapanga njaa tu akija rais yoyote anatufaa, hata LISSU mwenyewe. Sasa akitoa kauli za kujichanganya anaharibu sana. Swali langu, atarudi??? naumia sana kama hatagombea 2020
 
Zamani nilikuwa nashangaa sana Kwa nini ndani ya uvccm na ccm wenyewe wanaoshikishwa ukuta ni wengi?
Sasa ndio naanza kupata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kosa kisheria kumhoji mtu mwenye mawenge ya nusu kaputi, waandishi mtakujashitakiwa sikumoja na kulipa fidia kubwa.
 
Mtego huu na mbowe yuko tayari hata sasa

Kazi ni kwa magufuli,makonda,mkuu wa kitengo cha usalama wa taifa, mkuu wa jeshi la police,mkuu wa majeshi

Hawa hawatakubali uchunguzi huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakichunguza wakakuta mbowe ndiyo aliyempiga risasi Lisu ,utaficha wapi sura yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi mbowe ana power ya kung'oa cctv camera kwenye nyumba za mawaziri,kuondoa polisi wote wanaolinda eneo hilo.mbowe ndio aliyezuia uchunguzi kutoka nje
 

Hivi naomba kuhoji kidogo labda mi uelewa wangu mdogo sana HIVI UYU FREEMAN MBOWE ANA NGUVU GANI KATIKA TAIFA HILI LA TANZANIA MPAKA HAWEZE KUZIIA UCHUNGUZI USIFANYIKE WA CHACHA WANGWE PAMOJA NA TUNDU LISSU??mkuu naomba msaada please maana kama nimeanza kutaka kumfahamu vizuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"Nani aliefanya hichi kitendo,ni Mbowe,ni Magufuli.ni Zitto au Lowasa ......
ichunguzwe?..

"Is only the foolish dog can buck on the flying bird"...


Mkuu unabweka sana kwa kitu kilichokuwa wazi....

Watanzania tunataka kujua ukweli nani alietaka kumuua Lissu na kwasababu.gani? hatuhitaji video za kipuuzi katika wakati mgumu kama huu
 
kumbe mleta Mada ni kiazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubadilisha maneno kutakusaidia nini sijui ,vidio Yote tulishaiona kitambo .
 
Haishangazi .
Huo ndio ukweli wenyewe.. anaujua hataki kuusema ili achafue tu serikali.
Watetezi wa chama tawala na serikali iliyopo madarakani ebu kuweni angalau na uwezo kidogo tu wa kuchakata mambo

Msiwe watumwa/wadumisha fikra za mwenyekiti kwa kila jambo

Mbowe ndio aliwaondoa walinzi wote wa serikali ili ashambulie?

Mbowe aling'oa zile kamera kwa Waziri wa nishati Kalemani?

Mbowe ndio alizuia matibabu ya Lissu?

Mbowe ndio alipiga marufuku kupitia jeshi la polisi kumuombea Lissu kwenye viwanja vya wazi?

Mbowe ndio alimwagiza spika awaondoe wabunge wa upinzani ndani ya bunge ili watoke huko nje wasiko na immunity ya kibunge ili awashughulikie?

Mbowe ndio anataka kuzuia mshahara wa Lissu na stahiki zake zingine kama mbunge?

Nyie ccm na watetezi wake muwajinga mno hamna akili za kuchambua mambo katika uhalisia wake

Mmebaki kuwa watumwa wa wanasiasa uchwara jamii ya jiwe ili kukidhi matarajio yao ya kisiasa huku wajinga mkitumika kama ngazi ya kupandia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…