Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

HIvi ukiwa ccm inamaanisha akili zako unaziacha kabisa na kuanza kutumia makamasi? Lissu aliulizwa kuhusu tetesi kuwa mbowe anahusika na kushambuliwa kwake, alichojibu ni kuwa ufanyike uchunguzi kama ni mbowe au magufuli au bashite itajulikana baada ya uchunguzi. sasa wapi mnaposema kuwa kamtuhumu mbowe. Rudieni kuisikiliza hiyo clip vizuri wandugu wa ccm
 
Halafu wapuuzi wa lumumba nao wanashabikia upotoshaji!
 
watu wanajua sana kutwist mambo, sasa hapo amemtuhumu kivipi!?
 
JF sio facebook,humu kuna watu makini!Tuliosikiliza hotuba ya Lissu tumemwelewa,sio upotoshaji huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…