Kila mtu ana kilema chake hata wewe hapo ulipo lazima una kilema chako,Slaa ni kilema wa mkono na mguu hataweza kukabiliana na changamoto za nchi yetu
Siku akiwa rais huyu mzinzi lazima nikatafute hifadhi hata Sudan kusini, siko tayari kuishi nchi inayoongozwa na Padri mzinifu kama huyu
Unajua hilo jengo la makao makuu ya CCM lilijengwa lini na kwa nguvu ya nani? Kabla ya vyama vingi chama kilikuwa kimoja wananchi wote tulishiriki kulijenga hata tusio wanaCCM,Inamaana haujui Makao Makuu ya CCM? Ndiyo maana TataMadiba anawatukana, akili zenu kiufipaufipa tu.
Mkuu ya ngoswe mwachie ngoswe, askari anatakiwa kupambana kwa kutumia silaha iliyopo, sometime use the available negative forces to win the battle.Jamiiforums mnaruhusu Dr.Slaa tuitwa mzinzi,na hamtaki Kikwete aitwe Mkwere wala Zito kuitwa --------(ayatol.a Msal.iti)
Nita ama nchi kama Dr Slaa akigusa vyumba vya ikulu nitakwenda kuishi Uganda!
Kwanza najiuliza kauli ya Lissu ni kauli ya UKAWA?
Hizi zilipendwa hata mwasisi wake Ntuntemeke alishazipuuza sidhani kama wewe utaziweza leo,SLAA analipwa shilingi ngapi kwa mwezi? Pesa anazojikopesha kila siku zinatoka wapi? Una habari hata kadi cha CHADEMA tu anayezitengeneza ni MBOWE ndiye anajipatia tenda?
Hivi nyie vijana wa chama tawala mtaacha lini matusi? matusi hayajengi hoja sana sana yanaonyesha hulka ya mchangiaji ilivyo, tujirekebishe tujenge nchi yetu sote.
Siku akiwa rais huyu mzinzi lazima nikatafute hifadhi hata Sudan kusini, siko tayari kuishi nchi inayoongozwa na Padri mzinifu kama huyu
Tundu Lissu acha uongo unasema Dr.W.Slaa hajawahi kushindwa na CCM na hizo kura milioni 2.3 alizipata wapi kama hakushindwa na JK.