Lissu: Bunge linapochemka ndio raha yetu

Mkuu sisi Atutumi hela kuwatuma watu wala hatuna haja hiyo kuwa na amani Niwatanzania Tuu wameamua kuipenda ukawa
Ukwa! sema cdm ukawa hawana upuzi wenu, mnasiasa za kitoto zisha pitwa na wakati mambo ya chukichuki hayana maana shindana kwa hoja watu wawapime
 
Ni ile mikataba inayofanya Fedha za walipakodi badala yakuingia kwenye mfuko wa Serekali au shirika lake wao wanaipindisha nakuingia kwenye mifuko yao binafsi
sasa mara nyingi hakuna mikataba baina ya watu binafsi na wahusika wengine wowote kwa minajili ya kufanya miradi ya serikali, kama kuna ufujaji wa fedha za uma hilo ni jambo jingine kabisa nje ya hiyo mikataba, ila ukae ukijua kua watumishi wa serikali wengi wao ni hawa hawa ndugu zetu tunaoka nao mtaani, tunawaona kila siku na tunashirikiana nao, na wengine hata ni wanachama wa ukawa, kwahiyo wanaweza kua wanashiriki kuiba fedha za serikali halafu wanadai tena serikali haitimizi majukumu yake wakati wanachangia kuingiza hasara inayopelekea kusimama kwa miradi mingi, halafu unakuta tena fedha zitokanazo na ufujaji serikalini zinawekezwa kwenye miradi binafsi ya watu hao, na mapato ya miradi hiyo inatumika kufadhili kampenzi za vyama vya huko upinzani tena, kwahiyo ndugu kuna mzunguko mkubwa sana wa ufisadi, usipigie kelele serikali ya CCM tu, tunaishi na mijizi huku mtaani na bado tunailea, kwa ujumla tuache wizi watanzania wenzangu, tunajitia hasara wenyewe, ushauri tu
 
Asante sana nikikusoma katikati ya mistari naona sasa unaanza kukubali kua ccm imeharibika kwenye mfumo kwahiyo hata mkiweka kiongozi mzuri lakini yupo kwenye mfumo mbaya nafikiri nae anaonekana hafai? Sasa basi chakufanya ni nini twende kwenye chama chenye mfumo bora ambao vision zake ni kubwa sasa utakipata wapi? Ni ndani ya ukawa tu ndio unaweza kupata hicho chama
 
Ni kweli tukipata wabunge wengi tena wanaowajibika ipasavyo toka vyama vya upinzani, nchi itapata maendeleo makubwa
 
Vyama vya upinzani vijitahidi kupata wagombea makini wenye uzalendo na nchi yetu ili washinde ubunge wasitupitishie mambo yasiyofaa. Hakuna sababu ya jua nchi masikini wakati tuna kila kitu cha kuwezesha nchi yetu iwe na uchumi bora.
 
  • Lissu: Hii naweza kusema ‘bad moment’ ya upinzani ni pale Spika alipoonyesha upendeleo kwa Serikali. Ilikuwa inatuumiza. Wakati mwingine hata kutoa hoja kunaminywa, kumekuwa na miongozo mingi hadi leo haijatolewa majibu, sasa hapo ndipo upinzani ilikuwa ikituchanganya.

    Sasa, Spika ajaye asimamie misingi ya kanuni na sheria, awe anajua sheria na kuondoa hali hiyo. Spika ajaye pia ajipange na moto wa upinzani ambao ninadhani mwakani utakuwa mkubwa.

Haya yote yatakwisha iwapo mtajiandikisha nakupigia upinzani kura
 
Vyama vya upinzani vijitahidi kupata wagombea makini wenye uzalendo na nchi yetu ili washinde ubunge wasitupitishie mambo yasiyofaa. Hakuna sababu ya jua nchi masikini wakati tuna kila kitu cha kuwezesha nchi yetu iwe na uchumi bora.
Asante sana pia kujiandikisha ni muhimu
 
Tunataka wapinzani wafike zaidi ya 60% ya bunge zima. Hapo ndo utaona serikali inawahibishwa na hakuna ujinga wa kufanya kama walivyokuwa wanafanya mwanzo.

Wakishafika 60%sio tena wapinzani
 
Back
Top Bottom