Lissu: Bunge linapochemka ndio raha yetu

Lissu: Bunge linapochemka ndio raha yetu

mkuu sidhani kama kuna kitu kinaitwa mkataba hewa, hewa haishikiki, wala haionekani, kwa hiyo kama ni mkataba hewa, ni sawa na kuwepo kitu kishicho onekana, naweza kusema hakipo kabisa, kwahiyo ni sawa na kusema hiyo mikataba haipo, sasa sijui ni mikataba ya namna gani ambayo haipo lakini imesainiwa, tafadhali fafanua maana ya neno "hewa" kama ulivyolitumia na "mikataba" hivyo ukapata neno "mikataba hewa" hiyo mikataba hewa ndio ipi mkuu
Ni ile mikataba inayofanya Fedha za walipakodi badala yakuingia kwenye mfuko wa Serekali au shirika lake wao wanaipindisha nakuingia kwenye mifuko yao binafsi
 
Kuchemka bila ya faida niupuzi na uzezeta, mnawahadaa wananchi hakuna lolote mwisho wa siku
 
ChademaKwanza
kua mstaarabu chagua maneno hasa ktk wakati huu kueleke Oct. Lissu anasema anataka CCM na Upinzani upate 50% 50% anamaono ya kuchukua nchi huyu?

Ikifikia 50% ndani ya bunge maana yake ni nini,huwenda tutakuwa tumekwisha tangaziwa Rais kutoka ukawa, inshallaah!
 
Mkuu mbona haichekeshi hii au hauna kichekesho kipya?

Mimi sio Mkuu usinikweze dadako faizafoixy kafunga na kwa nyie waislam huu ni mwezi mtukufu kushadadia uongo mnajua pasna shaka ni dhambi mwenzio kaikimbia dhambi ya dunia na akhera vipi wewe mbona upo huku kushadadia uongo au ndio walewale kufunga hamfungi na daku wala.
 
Ccm wakisikia jina la Tundu Lissu wanatetemeka mwili mzima kama mamvi .
 
Kuchemka bila ya faida niupuzi na uzezeta, mnawahadaa wananchi hakuna lolote mwisho wa siku

Huko ccm mmejaa mazezeta tuu ndo maana hata uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo
 
ila hatufurahishwi mnapolichangamsha kwa kuvunja mic na kupiga kelele zisizokua na tija, halafu mnatoka nje

Inategemea kwa hoja gani kama ni hoja inayoleta maslahi kwa wananchi halaf ccm kwa ubabe na ulevi wao wa madaraka na kuchulia advatage ya uwingi hao bungeni kupitisha hoja hiyo isiyo na maslahi kwa wananchi, ni mara kumi wakafanya hivyo kwani tumeshaona mengi tu yaliyopitishwa kwa kura sabab ya wingi wao bungeni mfano mzuri ni suala la mafuta kupandishwa bei kwenye bajeti hii na suala la sheria ya makosa ya mtandao iliokua na makosa kibao na kulalamikiwa na wadau lakin bado serikali 'sikivu' ya ccm ikaptisha tu wakat hayafai!!
 
Back
Top Bottom