Lissu: Bunge linapochemka ndio raha yetu

Hivi wakati akizungumza hilo alikuwa mzima kichwani au alikuwa anazungumza akiwa amekunywa viroba? Anapolizungumzia bunge kama bunge anapaswa kuelewa kuwa na yeye ni sehemu ya bunge, hivyo kama bunge likichemka na yeye akachemka.

Hapo anazungumzia wale Wa ndiooo hata Walivyosema Watanzania wapingwe walitikia wapigwe tuu
 
ila hatufurahishwi mnapolichangamsha kwa kuvunja mic na kupiga kelele zisizokua na tija, halafu mnatoka nje
 
Ulitaka tufurahishwe na Kusafishwa mafisadi namikataba hewa watu wanayoingia nao wawekezaji?
 
ChademaKwanza
kua mstaarabu chagua maneno hasa ktk wakati huu kueleke Oct. Lissu anasema anataka CCM na Upinzani upate 50% 50% anamaono ya kuchukua nchi huyu?
 
Ulitaka tufurahishwe na Kusafishwa mafisadi namikataba hewa watu wanayoingia nao wawekezaji?
mkuu sidhani kama kuna kitu kinaitwa mkataba hewa, hewa haishikiki, wala haionekani, kwa hiyo kama ni mkataba hewa, ni sawa na kuwepo kitu kishicho onekana, naweza kusema hakipo kabisa, kwahiyo ni sawa na kusema hiyo mikataba haipo, sasa sijui ni mikataba ya namna gani ambayo haipo lakini imesainiwa, tafadhali fafanua maana ya neno "hewa" kama ulivyolitumia na "mikataba" hivyo ukapata neno "mikataba hewa" hiyo mikataba hewa ndio ipi mkuu
 
Tundu Lissu yupo kimya sana kuhusu kuchukuwa mafao ya milioni 280 huwezi kumsikia anaropoka chochote, issues zingine ambazo hawana maslahi nazo yeye na John Mnyika, kila muda utasikia muongozo spika, lakini kwenye "Furusi" Chadema na CCM wapo pamoja.

Nikiwa na mtoto kama wewe nakupekeka somalia manake huna faida kwenye familia.
 
Tundu Lissu yupo kimya sana kuhusu kuchukuwa mafao ya milioni 280 huwezi kumsikia anaropoka chochote, issues zingine ambazo hawana maslahi nazo yeye na John Mnyika, kila muda utasikia muongozo spika, lakini kwenye "Furusi" Chadema na CCM wapo pamoja.
Sheria ndio inasema hivyo wewe, wapitishaji ni walio wengi bungeni. Kuhusu posho ni wewe kama mlipa kodi ulipaswa kusema kwa nguvu usikike. Umeshakuwa mkubwa acha kuwaza kitoto
 
Tundu Lissu yupo kimya sana kuhusu kuchukuwa mafao ya milioni 280 huwezi kumsikia anaropoka chochote, issues zingine ambazo hawana maslahi nazo yeye na John Mnyika, kila muda utasikia muongozo spika, lakini kwenye "Furusi" Chadema na CCM wapo pamoja.

samahani mkuu,we mwanamke au mwanamme?manake huwa sikuelewi elewi uko upande upi
 
Tundu Lissu yupo kimya sana kuhusu kuchukuwa mafao ya milioni 280 huwezi kumsikia anaropoka chochote, issues zingine ambazo hawana maslahi nazo yeye na John Mnyika, kila muda utasikia muongozo spika, lakini kwenye "Furusi" Chadema na CCM wapo pamoja.

Mkuu kwani hayo mafao wanaiba? si halali kwa mujibu wa Bunge. Naunga mkono malipo yoyote HALALI isipokuwa tu pale yanapokuwa haramu kwa mujibu wa sheria
 
Tundu Lissu yupo kimya sana kuhusu kuchukuwa mafao ya milioni 280 huwezi kumsikia anaropoka chochote, issues zingine ambazo hawana maslahi nazo yeye na John Mnyika, kila muda utasikia muongozo spika, lakini kwenye "Furusi" Chadema na CCM wapo pamoja.

That's the end of your thinking capacity, imani ya chama imekuathiri sana! Lissu kajibu maswali katika uhalisia hakukuwa na propaganda pale, sasa nikisema umekula kiroba nakuonea?
 
Back
Top Bottom