Lissu kakwambia hapo CCM haitakuwa wapinzani, maana yake CCM ndio itaunda serikali.
Umesoma vyema kabisa
Hivi umeisoma hiyo habarI?soma mstari kwa mstari huoni anavyosema
Lissu hajasema hivyo, kasema CCM haitakuwa wapinzani, maana yake CCM itatoa RAis kwa mujibu wa Lissu
Hivi Chademakwanza huo uanahabari ulioupateje kama ata kusoma habari huwezi?usifanye watu mpaka wapate mashaka na uwezo wako.
Rejea hapo Tundu Lissu anawaambia Bunge lijalo liwe na
wabunge wa CCM upande mmoja na
wabunge wa upinzani upande mwingine, maana yake CCM hawatakuwa upinzani kwa mujibu wa Lissu, bali chama tawala.
Lissu: Tungekuwa wengi, ingekuwa nzuri, na bunge lijalo, ninatamani liwe na uwiano sawa wa wabunge wa CCM na upinzani ili kuleta usawa kuliko hali ya sasa.
Na anaenda mbele zaidi kusema anapenda wabunge wa upinzani wawe
Lissu: wabunge wa upinzani natamani kuona kama ya Lissu, (John) Mnyika, (Mch Peter) Msigwa, (Halima) Mdee, Mkosamali, (David) Kafulila wabunge wa namna hii watachangamsha sana Bunge.
Yaan Tindu Lissu kaishakubalia matokeo ata kabla kampeni hazijaanza