Lissu awapa tafakuri nzito wananchi wa Dodoma

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,405
2,000
Katika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala wa serikali hii ya awamu ya Tano.

Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu amesema kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kuna umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.

Lissu alikuwa na haya ya kusema:

allypipi

JF-Expert Member
May 10, 2020
340
1,000
Watawez kwel awap atawakiunga awap..matusi kututukana
FB_IMG_15988190486476589.jpg
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
695
1,000
Katika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala ww awwmu hii ya awamu ya Tano.
Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu aisa kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kua umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.

Lissu alikuwa na haya ya kusema:

Hilo si hitaji la watanzania Dodoma wamemhurumia sana wangempiga mawe
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
695
1,000
Anakoel

Anakoelekea atapondwa mawe MTU muongo muongo mchonganishi tu
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,862
2,000
Katika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala ww awwmu hii ya awamu ya Tano.
Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu aisa kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kua umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.

Lissu alikuwa na haya ya kusema:

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,405
2,000
Hilo si hitaji la watanzania Dodoma wamemhurumia sana wangempiga mawe

unataka kutwambia kuwa umuhimu wa kuondokana na ukatili, unyanyasaji wa raia, na kufutilia mbali vitendo vya kidhalimu vya watu wanaoteka hata kuua watu siyo hitaji la wananchi?

Hujielewi wewe!

Wewe unafikiri watu wanahitaji mabarabara na madaraja tu na siyo haki na kuwa salama katika nchi yao wenyewe!
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,405
2,000
Hawa wameambiwa watetee hata ikibd wavue nguo

Ndiyo maana wako busy kudiscourage Lissu asiongelee tukio lake la kupigwa risasi maana linampa image mbaya "Jamaa yao" mbele ya wananchi.

Na pia wako busy kudiscourage Lissu kuongelea masuala ya unyanyasaji, ukatili, uonevu, kwa sababu yanawafanya wananchi wawaone hawana maana!
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,417

Tena ingewezekana Lissu angeandika kijitabu japo cha kurasa chache tu kuelezea kwa kifupi historia na madhila yaliyompsta katika hizi harakati. Kiuzwe bei ndogo tu kingesaidia sana kwenye huu mchakato.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,770
2,000
Hawa jamaa linapokuja suala la madaraka wapo tayari kufanya lolote
Ndiyo maana wako busy kudiscourage Lissu asiongelee tukio lake la kupigwa risasi maana linampa image mbaya "Jamaa yao" mbele ya wananchi.

Na pia wako busy kudiscourage Lissu kuongelea masuala ya unyanyasaji, ukatili, uonevu, kwa sababu yanawafanya wananchi wawaone hawana maana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom