tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,821
- 18,245
Sasa kama unasema kuwa serikali huchangia asilimia tano, unashangaa nini mifuko hiyo kutenga fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii?
15% inayochangiwa na serikali ni kwa ajili ya wafanyakazi--sio kwa ajili ya maendeleo ya jamii!! Mwisho wa siku mstaafu anatakiwa alipwe 20% (5% kutoka kwa wafanyakazi + 15% kutoka serikalini). Sasa niambie hizo fedha zinazochotwa na mawaziri na wabunge wa CCM zinatoka wapi.